Hx
Heaven on Earth ana chura
Wazuri mpaka bas
Hx
Heaven on Earth ana chura
Ila huyu lara 1 nmwelewa sana ila nikimfuata ataniambia hataki shombo chumbani kwake
We unamkubali mod gani?Ikija post ya kuwajadili moderators niiteni
Huyu Nyani Ngabu alikusikia kweli?Nyani Ngabu where are you?
namwelewa sema maneno yake yananikatisha tamaa mkuu Sombeti
HAHAHAHAHAHAHAH SASA MTAMTONGOZA MTU NA NDOA YAKE ?Hapa wanaume watajipendekeza kutoa comment nzuri ili wakitongoza wasinyimwe.
mkuu kwanini unamkubali huyo?MBONA WADADA WENYEWE HAWASEMI HUWA WANAMKUBALI NANI HUKU ? ILA NINAEMKUBALI INAONEKANA KILA MTU ANAMUELEWA FLAN IVI CC: Evelyn Salt,
evelyn salt is crazy heaven on earth is clever
mkuu wewe unamkubali nani?[color=#00000]mhmmhmhmhmh watu wafukunyuku jamani lol
mkuu kwanini unamkubali huyo?
Huyo mwanadam da ............................
mkuu wewe unamkubali nani?
I like Evelyn salt comments zake zinanifurahisha sana na kuniacha hoi