Evarist Chahali: Mbona shoga aliteuliwa kuwa kiongozi wa umma Tanzania?

Unamficha nini? Huyo ni david mataka, aliyekuwa bosi wa ppf na baadae air tanzania.
 
Ni majuzi tu niliona ktk gazeti moja la UK mwanamke akifunga ndoa na mbwa... sasa huu nao utakuwa Ushogombwa?
Jamani mambo ya chumbani yabakie huko, serikali yetu haiwezi kufunua shuka za watu kuingilia privacy zao, yeye kama shoga aendelea na ushonga wake huyo Boss wa shirika la Umma hakubaguliwa na kunyimwa kazi kwa sababu ni shoga lakini msitake kufanya matamanio yenu kuwa sheria kwani Shoga hawezi kuwa shoga kama asipofanya kitendo cha ushoga. Hatuwezi kuhalalisha kitendo ili kuthibitisha UTU wa shoga..
 
Mimi niliskia jana mahali fulani wakisema kuwa nanihii naye ni shoga na amepewa taasisi kubwa hii ya nanihii aiongoze! na ndio maana akina fulani wameshindwa kutoa hata tamko lao maana hao nao wanajua kuwa akina fulani wengi sana wanacheza hako kamchezo na ndio maana kuna wanamuziki fulani toka nchi fulani kipindi fulani waliingia nchini na kuendeleza hako kamchezo kao hadi mmoja akalazwa!!
 
BILAL.jpg

mashoga.jpg

SHOGA.JPG

Mwandishi mkongwe, mwanamapinduzi na mwanaharakati Mtanzania anayeishi nchini Uskochi ameibuka na madai mazito dhidi ya jamii ya kitanzania kwa kile anachodai ni kuendekeza unafiki kwenye sakata la ushoga. Mwandishi huyo ambaye pia ni mmiliki wa Blog maarufu ya siasa inayokwenda kwa jina la KULIKONI UGHAIBUNI ameenda mbali zaidi kwa kuweka wazi kuwa mbona "shoga fulani" aliteuliwa na serikali kuwa kiongozi wa shirika la umma mpaka akalifilisi na ingawaje watu wanajua lakini walikaa kimya?

SOMA MAKALA KAMILI HAPA..................................

Tatizo ni unafiki wetu, si ushoga

Evarist Chahali
Uskochi

MOJA ya mambo yaliyonishitua sana nilipofika hapa Uingereza kwa mara ya kwanza ni jinsi Ukristo ulivyopoteza nguvu yake (hususan mahudhurio kanisani na watu wanaofuata Ukristo). Kilichonishitua ni ukweli kwamba Ukristo uliletwa huko nyumbani na “wazungu” hawa na nilitarajia wangekuwa wacha Mungu wakubwa.

Dalili za Ukristo kupoteza nguvu yake zinaonekana katika namna makanisa yanavyoishia kugeuzwa kumbi za starehe baada ya kukosa waumini. Kadhalika, asilimia kubwa ya waumini makanisani ni wageni kutoka nje ya nchi hii. Na japo Malkia wa Uingereza ni Mkuu wa Kanisa la Anglikana na Askofu Mkuu wa Canterbury ni mithili ya Baba Mtakatifu (Papa) kwa Kanisa hilo, idadi kubwa ya Waingereza inajitambulisha kama watu wasiofuata dini. Na kuna kundi kubwa tu la wanaojitambulisha kama Wakristo lakini wasiotia mguu kanisani.

Hakuna jibu jepesi kuhusu kwa nini Ukristo unazidi kupoteza nguvu nchini hapa lakini baadhi ya watu niliowahoji wanadai huenda maendeleo katika nyanja mbalimbali ni chanzo kwa baadhi ya watu “kupuuza” umuhimu wa imani katika maisha ya mwanadamu.

Lakini pamoja na Ukristo kupoteza nguvu yake miongoni mwa Waingereza, kwa kiasi kikubwa uadilifu katika nyanja mbalimbali za maisha umeendelea kuwa wa kiwango cha juu. Na hapa ndipo unaweza kubaini tofauti kubwa kati ya Waingereza “wanaopuuza dini” na akina sie huko nyumbani ambao dini inaonekana kuwa sehemu muhimu kwa maisha yetu.

Neno mwafaka linaloweza kuelezea tofauti hiyo ni UNAFIKI. Ni hivi, ni bora kuwa na watu wasio na dini au wasioabudu uwepo wa Mungu lakini wakaishi na kutenda mambo kiadilifu kuliko kuwa na ‘washika’ dini wasiokosekana makanisani au misikitini lakini uadilifu wao ni haba kama sio sifuri kabisa.

Na suala la unafiki linaweza kuchukua nafasi muhimu katika mjadala mkali uliosababishwa na kauli ya Waziri Mkuu wa Uingereza kuwa nchi yake itasitisha misaada kwa nchi zinazokiuka haki za mashoga. Tayari Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ameweka bayana msimamo wa Serikali kwamba Tanzania ipo tayari kukosa misaada ya Uingereza kuliko kubadilisha sheria za nchi zinazopiga marufuku ushoga.

Kuonyesha kuwa tamko la Membe halikuwa la kukurupuka tu, Rais Jakaya Kikwete
alinukuu kauli hiyo ya Waziri wake na kuirusha hewani (Retweeted) kwenye ukurasa wake (Kikwete) kwenye mtandao wa kijamii wa Twitter.

Lakini kabla sijaingia kwa undani katika kujadili suala hili ni vema nikaweka wazi msimamo wangu. Imani yangu kama Mkristo wa madhehebu ya Katoliki (ambaye almanusura ningekuwa padre iwapo nisingeghairi kujiunga na seminari mwaka 1986) sio tu inapinga ushoga bali pia inauona kama dhambi. Kwa hiyo, naomba ifahamike kuwa lengo la makala hii si kuunga mkono ushoga.

Kwa upande mmoja, Waziri Mkuu wa Uingereza, David Cameron, alikuwa na haki ya kuweka masharti katika misaada wanayotoa. Ifahamike kuwa misaada hiyo inatokana na fedha za walipa kodi wa Uingereza na inatarajiwa ielekezwe kwa nchi zinazoonekana machoni mwa Waingereza kama zinazoendana na maadili yao. Na moja ya masuala yanayopewa kipaumbele na nchi hii ni haki za binadamu (ikiwa ni pamoja na haki za mashoga).

Kwa hiyo basi si kwamba Cameron alikurupuka tu na tamko hilo ambalo baadhi ya wenzetu wamelitafsiri kama ajenda ya kueneza ushoga, bali anawakilisha hisia za wananchi wake ambao kimsingi ndio chanzo za fedha tunazopatiwa kama misaada.

Ni wazi kuwa kiongozi yeyote yule anayejua anachofanya atahakikisha anasimama upande wa wananchi wake. Kwa mantiki hiyo wananchi wake wanapotaka fedha yao wanayotupatia kama msaada ielekezwe tu kwa nchi zinazojali haki za binadamu (ikiwa ni pamoja na haki za mashoga) tu basi hana budi kufanya hivyo.

Japo siungi mkono ushoga lakini ninaelewa mantiki ya Cameron kutoa tamko hilo linaloakisi matakwa ya wananchi wake. Lakini kwa vile matakwa ya Waingereza kuhusu haki za binadamu hayaishii kwa mashoga pekee, ingeleta maana zaidi iwapo tishio la kukata misaada lingeelekezwa pia kwenye tatizo sugu la rushwa (na ufisadi kwa ujumla) ambalo si tu linakwaza haki za binadamu za masikini (ambao ni wengi kuliko mashoga) bali pia linaweza kusababisha wanyonge kupoteza maisha (kwa mfano rushwa inayowezesha vyombo vya usafiri vyenye hitilafu kuendelea na kazi na hatimaye kusababisha ajali).

Sasa nigeukie unafiki unaoandamana na jinsi tamko la Cameron lilivyopokelewa. Haihitaji utafiti wa kina kubaini kwamba si tu Tanzania (na nchi nyingine zinazolengwa na tishio hilo la kukatiwa misaada) ina mashoga lakini pia ushoga unazidi kuongezeka. Hivi nani anayesoma magazeti ya burudani au blogu hajamwona shoga mmoja aliyejipachika jina Seduction ambaye ni kama yupo kwenye kila shughuli za mabinti maarufu jijini Dar?

Nilipokuwa huko nyumbani mwaka 2005 na niliporejea tena mwaka 2008 nilishuhudia idadi kubwa tu ya mashoga katika maeneo mbalimbali ya burudani jijini Dar es Salaam. Na uchunguzi usio rasmi ulionesha kuwapo kwa mashoga kwenye kitchen parties ni kama suala la kawaida tu. Nilibaini kwamba kumbi za muziki wa mwambao zilikuwa ni chaguo kubwa la mashoga.

Lakini jambo moja la wazi ni kwamba hakukuwa na upinzani, chuki au hasira dhidi ya mashoga hao. Na sijawahi kusikia kuna shoga amekamatwa na polisi, kupelekwa mahakamani na hatimaye kufungwa kwa “kosa” la kuwa shoga. Na ukidhani hilo la kutokamatwa kwa mashoga ni la kushangaza sana, basi kubwa zaidi ni uteuzi wa kigogo mmoja (mstaafu sasa) wa shirika la umma ambaye kila aliyemjua alikuwa anafahamu tabia yake ya ushoga (kwa maana ya tendo la ndoa na watu wa jinsia yake).

Nina hakika aliyemteua alikuwa anafahamu hilo lakini haikuzuia kigogo huyo kupewa nafasi ya kufisadi shirika hilo hadi alipoondoka huku akijimwagia sifa za vichekesho.

Tuache unafiki, hivi maadili tunayodai ni haya ya wengi wa vigogo wetu kutumainia waganga wa kienyeji katika kila wanalofanya? Maadili haya ya “wachunga kondoo wa Bwana” kuishi maisha ya kifahari kama matajiri wakubwa ilihali waumini wao hohehahe wakihimizwa kuongeza kiwango cha sadaka? Au maadili haya ya Wakristo na Waislamu wasiokosekana kwenye nyumba za ibada lakini ndio wahusika wakuu wa ufisadi? Au haya ya ushirikina kuwa muhimu kuliko kumtumainia Mungu?

Au maadili tunayodai kuwa nayo ni haya ya majambazi wanaotupora utajiri wetu kisha kuibukia makanisani au misikitini na kutoa sadaka au zaka kubwa (iliyotokana na fedha ileile waliyotuibia)? Au maadili tunayodai Waziri Mkuu Cameron anayapuuza ni haya ya wengi wa wasanii wetu wa kike kwenye fani ya filamu ambao licha ya kupendelea kuvaa nusu uchi, hawana mishipa ya aibu kutangazia umma uchafu wanaofanya katika maisha yao? Maadili haya ya wasanii wa Khanga Moja na Kitu Tigo wanaoigiza u-Sodoma na Gomora hadharani kwa kisingizio cha burudani lakini hakuna wa kuwachukulia hatua?

Ni maadili gani anayozungumzia Kikwete na Waziri wake Membe ilihali katika hotuba yake iliyogusia mafisadi wa EPA alikumbushia umuhimu wa haki zao za binadamu (na ikambidi aliyekuwa Spika, Samuel Sitta, amkumbushe Rais kuwa haki za wananchi ni muhimu kuliko za mafisadi)?
Mbona hakukuwa na maandamano ya kumlaani Kikwete kwa kutetea haki za binadamu ambao ni mafisadi lakini leo tunawalaani Waingereza kwa kutishia kutunyima fedha zao kama tusipofuata matakwa yao?

Lakini unafiki mkubwa zaidi ni huu: viongozi hawa hawa ambao licha ya kukiri hadharani kuwa hawajui kwa nini nchi yetu ni masikini (labda pia hawajui kwa nini waliamua kutuongoza) pia ni washiriki wakubwa wa ufisadi unaotufanya tuishi kwa kutegemea fadhila za wafadhili kama Uingereza, wanatuhadaa kuwa ni bora tunyimwe misaada kuliko kukiuka maadili yetu. Lakini wababaishaji hawa hawatuambii jinsi watakavyofidia pengo litakalotokana na kukatwa misaada hiyo.

Na hawatuambii kwa sababu hajui watafidia vipi na hawajali kwa vile wao hawataathiriwa na kukatwa misaada hiyo. Na kama ambavyo tatizo la umeme linavyodumishwa na mafisadi ili kujaza akaunti za vijisenti huku nje, si ajabu tukikatiwa misaada mafisadi watapata kisingizio kipya cha “imebidi mabilioni haya ya shilingi yatumike kufidia pengo lililotokana na uamuzi wa Uingereza kutukatia misaada.”

Nimalizie makala hii kwa kutamka bayana kuwa kama ambavyo sipingi uanzishwaji wa Mahakama ya Kadhi kwa vile hainihusu mie Mkristo, sina tatizo na kurekebisha sheria za ushoga kwa vile si tu mashoga wapo na wanazidi kuongezeka (na hakuna anayewachukulia hatua kwa kuvunja sheria) lakini pia sheria hizo hazinihusu mimi au yeyote yule asiye shoga.

Omeanza vizuri na kujaribu kutushawishi lakini umechemsha kumalizia
 
Ingawa siungi mkono kuhalalisha ushoga TZ, lakini hii habari is an eye opener na ningefurahi kama ingeaandikwa kwenye magazeti ya Tanzania......
Hivyo vitendo vipo na serikali imevibariki kimya kimya. Kama kweli serikali inapinga ushoga to which I support basi ipinge kwa vitendo sio kwa maneno ya majukwaani.

I can not agree more. Salute for this post!!!!! Here is more evidence that JK and Membe do not walk their talk. Inawezekanaje kitu kama hichi kilikua kwenye kipindi cha clouds for Tanzanians to hear/see wao hawajui? Je kukataa kwao ni kufumbia macho au "usanii"? You can read more at:

http://dinamarios.blogspot.com/search?updated-max=2011-10-03T03%3A48%3A00-07%3A00&max-results=25http://dinamarios.blogspot.com/search?updated-max=2011-10-03T03%3A48%3A00-07%3A00&max-results=25

KAMA UMESIKILIZA KIPINDI CHA LEO HUYU NDIO IBRAHIM MOHAMED a.k.a AUNTY SUZY

Kipindi cha leo tulikuwa na mwanaume ambae ni shoga anaitwa Ibrahim lakini jina lake la kishoga anaitwa Aunty Suzy.

Moja ya sababu kuu za ben mkapa kumfay mataka inaamini ni tabia hii ya umende lakini pia nkumbuka mzee wetu ruksa alishaga mfuta kibarua mkuu wa uhamiaji fulani aliyefumwa akimmendea,

Sio kweli mzee Ruksa hakumfuta kazi yule mkuu wa uhamiaji aliyehisiwa kuwa alikuwa anaishi na kijana wa kiume; yule bwana aliyekuwa na asili ya kutoka Tanga alijiua mwenyewe baada ya mambo yake kuwekwa hadharani!! Kwa wale vijana wa zamani watakumbuka jina la mchezaji mpira wa timu ya Taifa MBWANA MTOTO.!!!
 
Du picha ya kwanza ni ya aunty Bilali a.k.a Bilaila Mashauz-ni dealer mkubwa sana wa Mamiss na hawa maselebrit wa ki Tanzania.ukimtaka demu yeyote mwenye jina apa Tz Bilali Mashauz anayo namba yake ya simu,na anakuletea mzigo pale ulipo (home Delivery) ni very best friend wa Lady Jd
 
quote_icon.png
By Bobuk
Ingawa siungi mkono kuhalalisha ushoga TZ, lakini hii habari is an eye opener na ningefurahi kama ingeaandikwa kwenye magazeti ya Tanzania......
Hivyo vitendo vipo na serikali imevibariki kimya kimya. Kama kweli serikali inapinga ushoga to which I support basi ipinge kwa vitendo sio kwa maneno ya majukwaani.
Labda watu mnashindwa kuelewa...Kinachopingwa ni kitendo cha USHOGA, sio watu hivyo mtu kupewa kazi kwa sababu ni shoga haihusiani isipokuwa haruhusiwi kufanya ushoga kazini au mahala popote..

Pia kisheria hatuna sheria inayomkataza mtu kutembea nje ya ndoa, sidhani kama ipo lakini tunalaani kitendo hicho na hatuwezi kukitungia sheria kukihalalisha kwa sababu tu kuna watu tunawajua wanatembea nje ya ndoa zao.
 
Hivi ni Sheikh gani Ustadhi na maharufu alifia hotelini Arusha akiwa na Kijana wa kiume miaka kadhaa iliyopita?
 
Lakini jambo moja la wazi ni kwamba hakukuwa na upinzani, chuki au hasira dhidi ya mashoga hao. Na sijawahi kusikia kuna shoga amekamatwa na polisi, kupelekwa mahakamani na hatimaye kufungwa kwa “kosa” la kuwa shoga. Na ukidhani hilo la kutokamatwa kwa mashoga ni la kushangaza sana, basi kubwa zaidi ni uteuzi wa kigogo mmoja (mstaafu sasa) wa shirika la umma ambaye kila aliyemjua alikuwa anafahamu tabia yake ya ushoga (kwa maana ya tendo la ndoa na watu wa jinsia yake).

Nina hakika aliyemteua alikuwa anafahamu hilo lakini haikuzuia kigogo huyo kupewa nafasi ya kufisadi shirika hilo hadi alipoondoka huku akijimwagia sifa za vichekesho.
Tuache unafiki,........

Nakubaliana kwa kiasi kikubwa na aliyoandika huyu mkuu. Tuache unafiki. Aliyosema Mh Membe ni unafiki mtupu. Kama kweli hatuendekezi ushoga, kama kweli culture yetu inapinga ushoga, kama kweli katiba yetu inaruhusu tuu mahusiano ya kijinsia kati ya mwanaume na mwanaume, kwa nini bado tuna mpaka viongozi ambao ni mashoga? Wapo viongozi walipo madarakani ambao ni mashoga, wapo viongozi wastaafu ambao ni mashoga na wapo viongozi marehemu ambao walikuwa mashoga pia. Kama haya yatakanushwa basi, basi atakayekanusha atoe pia fursa ya wananchi kupeleka majina ya viongozi ambao ni mashoga.

Sio kwamba nina ubaya wowote na mashoga. La hasha. Ni huu unafiki tuu toka kwa viongozi wetu. Inabidi tufuate reality. Ushoga upo Tanzania. Hili halina mjadala. At least kila Mtanzania anamjua aleast mtu mmoja ambaye ni shoga. Kinachotakiwa kufanywa ni either kuutambua ushoga na kuwapa wahusika haki zao wanazostahili kibinadamu or kutoutambua kabisa ushoga na kuwaadhibu wahusika kutokana kwa kuvunja sheria za nchi. Badala ya kusema majukwaani tuu kwamba Tanzania haikubali ushoga, tuonyeshe kwa vitendo kwamba hatuukubali kweli. Hakuna haja ya kuwadanganya Watanzania eti nchi yetu haitambui ushoga, wakati wapo au walishakuwepo viongozi ambao ni mashoga.

Lets be open and honest with this. Inawezekana kabisa Cameron amesema hayo kwa sababu anajua inside out ya ushoga Tanzania. Wikileaks ingelikisha cables za Uingereza labda tungejua mpaka na majina ya viongozi ambao ni mashoga. Kwa hiyo, tuache unafiki, ili ku-please tuu wananchi. Wananchi wa Tanzania ya leo sio wale wa Tanzania ya zamani. Either tuutambue ushoga na kuwapa wahusika haki zao au tuupinge kabisa kwa vitendo na sio kwenye majukwaa ya kisiasa. Hivi serikali inajua kuwa wengi wanaokufa kwa Ukimwi ni mashoga?

Narudia tena. Sina ubaya wowote na mashoga. Ubaya wangu uko kwa serikali kuwa na unafiki kwenye hili suala. Maana next time, serikali itakuja na kusema kuwa haiungi mkono na hakuna nyumba ndogo Tanzania wakati zimetapakaa kila mahali na baadhi wa viongozi wana hizo nyumba ndogo.
 
BILAL.jpg

mashoga.jpg

SHOGA.JPG

Mwandishi mkongwe, mwanamapinduzi na mwanaharakati Mtanzania anayeishi nchini Uskochi ameibuka na madai mazito dhidi ya jamii ya kitanzania kwa kile anachodai ni kuendekeza unafiki kwenye sakata la ushoga. Mwandishi huyo ambaye pia ni mmiliki wa Blog maarufu ya siasa inayokwenda kwa jina la KULIKONI UGHAIBUNI ameenda mbali zaidi kwa kuweka wazi kuwa mbona "shoga fulani" aliteuliwa na serikali kuwa kiongozi wa shirika la umma mpaka akalifilisi na ingawaje watu wanajua lakini walikaa kimya?

SOMA MAKALA KAMILI HAPA..................................

Tatizo ni unafiki wetu, si ushoga

Ama kweli Watz tunatisha kwa unafiki!

Ushoga/usagaji ni kitu kibaya kimaadili na imani.Lakini ni nani asiyejua kuna wasagaji na mashoga waliokubuhu Tanzania yote - bara na visiwani?

Nani anakumbuka miezi miwili iliyopita Clouds redio walirusha "live' kitchen party iliyomhusu shoga DSM aliyekuwa anaolewa na mwanaume aliyeacha mkewe?

Sikutarajia mikurupuko ya Watanzania kiaina ati kusikia Waingereza wanasistiza kuheshimu haki za binadamu wakiwemo mashoga!
Kwani ilihitaji Cameron kuwagusa mikono?
Mbona siku zote hamkukemea?
Hizo picha hapo juu za was.....en...ge....kwani ni waingereza au Watz wenzenu?????????????/////
 
Nakubaliana kwa kiasi kikubwa na aliyoandika huyu mkuu. Tuache unafiki. Aliyosema Mh Membe ni unafiki mtupu. Kama kweli hatuendekezi ushoga, kama kweli culture yetu inapinga ushoga, kama kweli katiba yetu inaruhusu tuu mahusiano ya kijinsia kati ya mwanaume na mwanaume, kwa nini bado tuna mpaka viongozi ambao ni mashoga? Wapo viongozi walipo madarakani ambao ni mashoga, wapo viongozi wastaafu ambao ni mashoga na wapo viongozi marehemu ambao walikuwa mashoga pia. Kama haya yatakanushwa basi, basi atakayekanusha atoe pia fursa ya wananchi kupeleka majina ya viongozi ambao ni mashoga.

Sio kwamba nina ubaya wowote na mashoga. La hasha. Ni huu unafiki tuu toka kwa viongozi wetu. Inabidi tufuate reality. Ushoga upo Tanzania. Hili halina mjadala. At least kila Mtanzania anamjua aleast mtu mmoja ambaye ni shoga.

Lets be open and honest with this. Inawezekana kabisa Cameron amesema hayo kwa sababu anajua inside out ya ushoga Tanzania. Wikileaks ingelikisha cables za Uingereza labda tungejua mpaka na majina ya viongozi ambao ni mashoga. Kwa hiyo, tuache unafiki, ili ku-please tuu wananchi. Wananchi wa Tanzania ya leo sio wale wa Tanzania ya zamani. Either tuutambue ushoga na kuwapa wahusika haki zao au tuupinge kabisa kwa vitendo na sio kwenye majukwaa ya kisiasa. Hivi serikali inajua kuwa wengi wanaokufa kwa Ukimwi ni mashoga?

Sijui tuwataje ndio wakome kuringa? Wengine mijibaba miraba minne imeoa na watoto juu lakini kumbe.............mhhhh!
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Nakubaliana kwa kiasi kikubwa na aliyoandika huyu mkuu. Tuache unafiki. Aliyosema Mh Membe ni unafiki mtupu. Kama kweli hatuendekezi ushoga, kama kweli culture yetu inapinga ushoga, kama kweli katiba yetu inaruhusu tuu mahusiano ya kijinsia kati ya mwanaume na mwanaume, kwa nini bado tuna mpaka viongozi ambao ni mashoga? Wapo viongozi walipo madarakani ambao ni mashoga, wapo viongozi wastaafu ambao ni mashoga na wapo viongozi marehemu ambao walikuwa mashoga pia. Kama haya yatakanushwa basi, basi atakayekanusha atoe pia fursa ya wananchi kupeleka majina ya viongozi ambao ni mashoga.

Sio kwamba nina ubaya wowote na mashoga. La hasha. Ni huu unafiki tuu toka kwa viongozi wetu. Inabidi tufuate reality. Ushoga upo Tanzania. Hili halina mjadala. At least kila Mtanzania anamjua aleast mtu mmoja ambaye ni shoga. Kinachotakiwa kufanywa ni either kuutambua ushoga na kuwapa wahusika haki zao wanazostahili kibinadamu or kutoutambua kabisa ushoga na kuwaadhibu wahusika kutokana kwa kuvunja sheria za nchi. Badala ya kusema majukwaani tuu kwamba Tanzania haikubali ushoga, tuonyeshe kwa vitendo kwamba hatuukubali kweli. Hakuna haja ya kuwadanganya Watanzania eti nchi yetu haitambui ushoga, wakati wapo au walishakuwepo viongozi ambao ni mashoga.

Lets be open and honest with this. Inawezekana kabisa Cameron amesema hayo kwa sababu anajua inside out ya ushoga Tanzania. Wikileaks ingelikisha cables za Uingereza labda tungejua mpaka na majina ya viongozi ambao ni mashoga. Kwa hiyo, tuache unafiki, ili ku-please tuu wananchi. Wananchi wa Tanzania ya leo sio wale wa Tanzania ya zamani. Either tuutambue ushoga na kuwapa wahusika haki zao au tuupinge kabisa kwa vitendo na sio kwenye majukwaa ya kisiasa. Hivi serikali inajua kuwa wengi wanaokufa kwa Ukimwi ni mashoga?

Narudia tena. Sina ubaya wowote na mashoga. Ubaya wangu uko kwa serikali kuwa na unafiki kwenye hili suala. Maana next time, serikali itakuja na kusema kuwa haiungi mkono na hakuna nyumba ndogo Tanzania wakati zimetapakaa kila mahali na baadhi wa viongozi wana hizo nyumba ndogo.
Kwa hiyo unataka kunambia maadam tunalaani watu wanaotembea nje ya ndoa lakini wapo ni Unafiki? unataka pia tutambue kisheria kitendo cha zinaa maadam watu wanafanya zinaa hizo na tunaishi nao?. Jamani sababu ya kutambua ushoga umetokana na mashoga kutengwa, kubaguliwa na kadhalika ndipo haki ya kibinadamu inapoingia. Mtu hajatengwa unataka kuhalalisha kitendo ili iwe nini? hizi tamaduni za kuiga na kuzifanya sheria jamani zinatupa shida sana kuzitafsiri. Ndio maana kuna mtu aliwahi nambia summer ya Bongo baabu kubwa sikumwelewa!
 
Back
Top Bottom