Euro 2012 tanzania tv station

Msaranga

JF-Expert Member
Feb 10, 2009
956
227
Nimesikitika sana kwa tanzania tv station itv,star tv,tbc kwa kushindwa kutuonesha haya mashindano makubwa ya euro 2012.kweli ni aibu kubwa kwa vituo vyetu hata kwa kushirikiana mmeshindwa kweli?namkumbuka sana mkurugenzi wa zamani wa tbc tido,angekuwepo bado tbc kweli walalahoi tungeyaona haya mashindano.itv mengi vipi cku hizi kimya?chanel ten vipi?
 
Nimesikitika sana kwa tanzania tv station itv,star tv,tbc kwa kushindwa kutuonesha haya mashindano makubwa ya euro 2012.kweli ni aibu kubwa kwa vituo vyetu hata kwa kushirikiana mmeshindwa kweli?namkumbuka sana mkurugenzi wa zamani wa tbc tido,angekuwepo bado tbc kweli walalahoi tungeyaona haya mashindano.itv mengi vipi cku hizi kimya?chanel ten vipi?

Pole sana ndugu, halafu tunatarajia maendeleo katika soka wakati tunapunguza msukumo wa watanzania kwa soka..achana na local tv hakikisha una access na star times, easy-tv,sibuka baba lao DSTV n.k uweze kuona Euro,hizo local mizenguo tu hata ikitokea moja ikatangaza kuonyesha kuwa makini unaweza kaa sebuleni kusubiri muda wa game kuanza ile wachezaji wako uwanjani tu wanataka kuanzisha kabumbus matangazo yanakata kisha unaambiwa,tunaomba radhi kwamba hatutaweza kuwaletea pambano hili kwa sasa kwa matatizo ya kiufundi,wataalamu wetu wanaendelea kufuatilia ili kutatua tatizo hili!

Kama soka ingekuwa ufisadi,kwa wachezaji mahiri wa ufisadi CCM,Tanzania ingekuwa walau ya 10 kwa soka duniani
 
Du kweli mkuu

pole sana ndugu, halafu tunatarajia maendeleo katika soka wakati tunapunguza msukumo wa watanzania kwa soka..achana na local tv hakikisha una access na star times, easy-tv,sibuka baba lao dstv n.k uweze kuona euro,hizo local mizenguo tu hata ikitokea moja ikatangaza kuonyesha kuwa makini unaweza kaa sebuleni kusubiri muda wa game kuanza ile wachezaji wako uwanjani tu wanataka kuanzisha kabumbus matangazo yanakata kisha unaambiwa,tunaomba radhi kwamba hatutaweza kuwaletea pambano hili kwa sasa kwa matatizo ya kiufundi,wataalamu wetu wanaendelea kufuatilia ili kutatua tatizo hili!

kama soka ingekuwa ufisadi,kwa wachezaji mahiri wa ufisadi ccm,tanzania ingekuwa walau ya 10 kwa soka duniani
 
Wadau, mi nvyofahamu ni kwamba ITV wameshapata rights za kuonyesha hii michuano na tayari wameshagawa proposal kwa wateja wanaotaka ku sponsor mechi zitakazo onyeshwa live, ila cjui kama kuna changes zozote zilizojitokeza hivi karibuni
 
ATN INAONYESHA HATA KWA SIMU CHEK ATNFACEBOOK.AGAPETELEVISION.NET,ACHANA NA tbccm
 
Tv hizi za dar ni taabu, walishindwa kuonyesha Kombe la mataifa ya Afrika <home>, ndio waje kushadadia vya Ulaya!! Nimekoma kuijua Tanzania.
 
Back
Top Bottom