EU, USA should ban CCM leaders and their families ....

Hebu acheni ujinga hapa,Ebo kwenda ulaya na Marekani mnaona ni issue ya kuandika humu ama kweli hii sasa inapoteza mwelekeo,mtu ukishuka hapo chini bondeni si unapata yote yanayopatikana huko mnakoita majuu? tena issue za visa kwishney!!!nimetembea sana hiyo ulaya kuanzia miaka ya 8o, sina sehemu ambayo unaijua wewe siijui,lakini kuanzia 1995 sijawa na matamanio ya kwenda huko na i dont miss anything wallah.

Punguza jazba mkuu, huko unakoelekea siko kwenyewe...
 
Hayo ndiyo mambo yalikuwa yanafanyika ZNZ, ktk muda wote huo wa kupinga matokeo, na matokeo yake ZNZ iliwekewa vikwazo fulani vya uchumi. Nani anaeumia? ni MTZ na siyo CCM.
Tuache mambo ya kwenda kwa Wazungu kudai haki zetu. Sisi wenyewe WTZ tunaweza kufanya mambo yetu bila ya hao Wazungu.

Ur 100% right kama ulikuwa na mimi, sisi wenyewe ndio tunatakiwa tuwatoe hawa CCM, wametunyonya saaaaaaana sasa basi, wanaiba kura, mikataba mibovu ya madini, mafisadi wao, VX V8 ya kwao, wananchi wanaumia ile mbaya, CHADEMA imekuja na sera nzuri zinazotekelezeka, elimu, afya bure na vifaa vya ujenzi 5000 mfuko wa sarruji, katiba mpya, lakini CCM hawataki kwasbb watakosa anasa walizozoea, wanatoa ahadi za uongo every time, hamna lolote, maisha bora, angalia bei ya kila kitu 2005 na sasa ni mara 2 hadi 3 zaidi haya ndio maisha bora? Tunaliwa hivi hivi, kuanzia vyuo vikuu tuungane tuwatoe hawa wanyonyaji
 
tuache kulalamika, kikwete , rostam na mwanae ridhwan wanataka muamini kuwa bado kikwete ni chaguo la watz kwa 90%, hataki kusikia kuwa ameporomoka. wale vijana wa mwanza waliochoma gari la wilson kabwe na kutishia kuchoma nyumba zake mpaka alipowatangaza akina wenje kuwa wabunge wameonyesha njia. ridhwan na rostam wapo hapa nchini, bado wanatanua, wao wana mabomu ya machozi lakini sisi tuna petroli na nyengo wakati ni huu... huwezi kupewa haki yako kwenye sahani ya dhahabu, :by Julius Nyerere
 
Tutoe shinikizo kwa EU na USA kuwapiga mkwala wa kwenda ulaya na marekani viongozi wote wa CCM pamoja na familia zao kwa wizi wa kura. Haiwezekani watuibie kura halafu waende kujichana kwa pesa zetu.

CHADEMA huu ni wakati wa kuanza kampeni kwa mabalozi na nchi zote marafiki ili hawa wanoko wakione cha mtema kuni.

mjomba kuna thread kule imeanzishwa na jamaa ambao wako marekani hii ni meseji tosha kwa nji za mbele lazima watajua kuna kitu tu.
 
Mimi kama Mmarekani sioni sababu ya viongozi wa Tanzania kupigiwa mkwala. Uchaguzi umefuata katiba yenu. Ni katiba yenu inayosema kuwa rais ateue mkuu wa wilaya, mkuu wa mkoa, na watu wengine wanaoweza kubadilisha matokeo ya uchaguzi. Hivyo mtu aliyopo madarakani akishinda kwa kutumia madaraka aliyopewa kikatiba, hayo ni matatizo yenu.

Sasa kama wewe ni Mmarekani pilipili iliyo Tanzania inakuwashia nini? Who cares?

- Great Thinkers tunatakiwa kuandika na evidence, pamoja FACTS hasa ishu nzito sana kama hii ya kuiba kura na huku wasimamizi toka nje wakiwepo au?

William.

Vipi utaathirika na hii move? Mabadiliko ya kweli yataanza na sisi sio kuwa wanafiki. Mugabe amesusiwa kwenda nje amebaki kulialia kama kasuku na wenzake ambao hata vimburu vyao haviwezi kwenda kusoma nje tena kwa pesa za walipa kodi wa Zimbabwe. Sisi ni lazima Chama Cha Majambazi na group zima la thugs wake wapigwe mkwala kama wewe huwezi sisi tutafanya na moto ndio huo naanza kuwasha. Ati ushahidi umesoma report ya EU kuhusu uchaguzi au unabwabwaja tu? Stay tuned.
 
Uoni kwamba unaboronga? Kama unaona umedhulumiwa why don't you stand up for your rights?

Vipi unataka kututisha kwenye blog yetu aliyesema mmarekani ni wewe jibu swali bana wacha ngebe!
 
Yes I am American. Since I joined this forum I have not hidden the fact that I am Tanzanian-American. Now with regard to your original proposition, you must be realistic. Election is over.
 
Yes I am American. Since I joined this forum I have not hided the fact that I am Tanzanian-American. Now with regard to your original proposition, you must be realistic. Election is over.

So what? Who said we're still in election mode?
 
- Great Thinkers tunatakiwa kuandika na evidence, pamoja FACTS hasa ishu nzito sana kama hii ya kuiba kura na huku wasimamizi toka nje wakiwepo au?

William.

Tuache ushabiki kaka unataka ushahidi gani inaelekea hata ukiambiwa utabisha.
Yaani wewe haujaona?Makame amekiri ana kusema walikosea..............unaweza niuliza wap,i ukiuliza hivyo basi huna haki ya kuchangia maana hukufuatilia.
 
Tutoe shinikizo kwa EU na USA kuwapiga mkwala wa kwenda ulaya na marekani viongozi wote wa CCM pamoja na familia zao kwa wizi wa kura. Haiwezekani watuibie kura halafu waende kujichana kwa pesa zetu.

CHADEMA huu ni wakati wa kuanza kampeni kwa mabalozi na nchi zote marafiki ili hawa wanoko wakione cha mtema kuni.

Last edited by a moderator:
You are still crying foul. Take it ize.

Usitafute sympathy, hawa makuwadi na majangili wa Chama Cha Majambazi ni lazima wazuiwe kwenda kufuja pesa za walipa kodi nje ya nchi. Kila kukicha utasikia wako London kwenye shopping etc. au NY na kwingineko utasikia habari yao sooner than later.
 
Ngoja nikuulize kitu kimoja. Nipo hapa nabeba mabox kihalali na sehemu fulani ya mapato yangu inakwenda nyumbani kusaidia wazazi na jamaa zangu, wakati huo huo kuna watu wanakuja na pesa za wizi kutoka Tanzania au nchi nyingine za kiAfrika na kujirusha nazo. Je unafikiri mimi sipati uchungu?

Napata uchungu tena zaidi ya mtu aliyopo bongo. Kwanza nalipa tax, ambayo kiasi fulani inakuja kama misaada. Pili nasaidia wazazi na jamaa zangu wengine huko. Kama serikali ya Tanzania ingekuwa inafanya vizuri basi nisingekuwa na sababu ya kutuma pesa za kusaidia ndugu zangu.

Sasa tukirudi kwenye hoja za msingi za thread hii. Serikali za nchi zilizoendelea kama Marekani ni za kinafiki vilevile. Kama hazina interests na nchi yako hawawezi kuja kutoa msaada wa maana. Hivyo basi kama unataka mabadiliko ya kweli basi mabadiliko yenyewe yawe na msukumo wa hapohapo nyumbani.
 
Sasa kama wewe ni Mmarekani pilipili iliyo Tanzania inakuwashia nini? Who cares?

Vipi utaathirika na hii move? Mabadiliko ya kweli yataanza na sisi sio kuwa wanafiki. Mugabe amesusiwa kwenda nje amebaki kulialia kama kasuku na wenzake ambao hata vimburu vyao haviwezi kwenda kusoma nje tena kwa pesa za walipa kodi wa Zimbabwe. Sisi ni lazima Chama Cha Majambazi na group zima la thugs wake wapigwe mkwala kama wewe huwezi sisi tutafanya na moto ndio huo naanza kuwasha. Ati ushahidi umesoma report ya EU kuhusu uchaguzi au unabwabwaja tu? Stay tuned.

- Hizi huwa tunaita kelele za mlango!, hazina faida kwa taifa wala hii Forums! ha! ha! ha! ha!, simply kelele za mlango!

William.
 
Tuache ushabiki kaka unataka ushahidi gani inaelekea hata ukiambiwa utabisha.
Yaani wewe haujaona?
Makame amekiri ana kusema walikosea..............unaweza niuliza wap,i ukiuliza hivyo basi huna haki ya kuchangia maana hukufuatilia.

- Nguvu na hoja badala ya hoja ya nguvu!, sawa mkuu ushahidi mzito sana huu!

William.
 
- Hizi huwa tunaita kelele za mlango!, hazina faida kwa taifa wala hii Forums! ha! ha! ha! ha!, simply kelele za mlango!

William.

Hata Jakaya Kikwete alisema vivyo hivyo na kuahidi hahitaji kura za wafanyakazi lakini ameishia kuwa rais mwizi wa kura tena mchana kweupe angalau Mzee John Malecela yeye hakuiba na kukubali kufa kiume.
 
Ngoja nikuulize kitu kimoja. Nipo hapa nabeba mabox kihalali na sehemu fulani ya mapato yangu inakwenda nyumbani kusaidia wazazi na jamaa zangu, wakati huo huo kuna watu wanakuja na pesa za wizi kutoka Tanzania au nchi nyingine za kiAfrika na kujirusha nazo. Je unafikiri mimi sipati uchungu?

Napata uchungu tena zaidi ya mtu aliyopo bongo. Kwanza nalipa tax, ambayo kiasi fulani inakuja kama misaada. Pili nasaidia wazazi na jamaa zangu wengine huko. Kama serikali ya Tanzania ingekuwa inafanya vizuri basi nisingekuwa na sababu ya kutuma pesa za kusaidia ndugu zangu.

Sasa tukirudi kwenye hoja za msingi za thread hii. Serikali za nchi zilizoendelea kama Marekani ni za kinafiki vilevile. Kama hazina interests na nchi yako hawawezi kuja kutoa msaada wa maana. Hivyo basi kama unataka mabadiliko ya kweli basi mabadiliko yenyewe yawe na msukumo wa hapohapo nyumbani.

The litany of ignorance.
 
Hata Jakaya Kikwete alisema vivyo hivyo na kuahidi hahitaji kura za wafanyakazi lakini ameishia kuwa rais mwizi wa kura tena mchana kweupe angalau Mzee John Malecela yeye hakuiba na kukubali kufa kiume.

- ??????????????:israel:ha! ha! ha! what is the point? ha! ha! Lets say Rais ni mwizi as of your Great Thinking, atakua amechagulwia na wananchi wa aina gani? Ha! ha! ha!

Kwani ukiiba kura kuna wananchi waliokuchagua? Labda tubadili definition ya wizi then tutakuwa na hao wananchi. Khe khe kheeeeeeee
 
Back
Top Bottom