matwi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2009
- 276
- 65
ukiukosanipe email yako nikutumieok thanks mkuu ngoja niusake.
ukiukosanipe email yako nikutumieok thanks mkuu ngoja niusake.
Huu wimbo wa Tanzania yetu ni nchi ya Furaha.....ndo huu hapa
Mkuu thanx a lot aisee, nimeutafuta sana huu wimbo.Huu wimbo wa Tanzania yetu ni nchi ya Furaha.....ndo huu hapa
Wakuu kuna huu wimbo pia naupenda sana, nakumbuka mashairi yake tu, sina hata hakika ya title yake, nadhani uliimbwa na Bushoke wakati yuko Mlimani Park
mashairi
Penzi ni kati yake mke mume, Na hustawi kwenye Mahaba aa
Penzi ni kileo cha fikara, Wala usione ajabu nikipeeenda
Uliponikubalia tuwe mke na mume
Nilitamani Dunia isimame hata kwa sekunde moja
Ili niione nuru ya mapenzi yako
Na roho yangu iwe radhi kuwa huru
Chorus)
Penzi letu liwe moja, Lenye dhiki na faraja
Tukiishi vizuri ni Taji kwa wapendanao
Iliyobaki tusaidiane tulindiane heshima
Tuipende familia, Ndio kustawisha pendo
Kama kuna mwenye nao naomba niupate tafwazali

Much respect MkuuMkubwa ngoja tuingie machimbo usihofu...utapatikana tu
Huu wimbo wa Tanzania yetu ni nchi ya Furaha.....ndo huu hapa[/QUOT
Ntyimbo za washirika band tafadhali kma mtu anazo
Huu wimbo wa Tanzania yetu ni nchi ya Furaha.....ndo huu hapa
Mkuu ubarikiwe sana kwa wimbo huu,nimeutafuta sikunyingi sana!!! thanks a lot!Huu wimbo wa Tanzania yetu ni nchi ya Furaha.....ndo huu hapa
anaitwa asa ni msichana na wimbo unaitwa jailer .eeh swali la nyongeza....??
Huu wimbo wa Tanzania yetu ni nchi ya Furaha.....ndo huu hapa
mkuu jaribu kuangalia kwenye nyimbo za mariam makeba(mama africa).kuna wimbo fulani unaitwa mbube(imbube) au lion.nahisi unaweza fanikiwa.mia
Wimbo Unaitwa The Lion King! Na umetumika kwenye movie ya Lion King.. pia $io Wa Kizuru maana unaimbwa Kwa Kingreza...