Eti Tanzania kuondoka katika kundi la nchi maskini ifikapo 2015

mleta mada ana maneno matamu . kama vipi angekuwa raisi angetuletea maendeleo ,maana mavirusi ccm wameshindwa!!!
 
Kenya with their bigger economy than ours wanafikiria hivyo 2030 and there are plans going on to achieve that,sisi 2015! Maajabu
 
Mkuu! Hujui kauri za mawaziri wengine zinanifanyaga nishindwe kujua uwezo wao wa kufikiri kuhusu kauli zao na ufahamu wa watanzania kuhusu mambo. Mwaka jana waziri mmoja (ambaye mabadiliko ya karibuni yalimuondoa) aliniambia kuwa Tanzania tayari ilisha-qualify kuwa middle-income country kwa kuwa per capita iko almost US$1000! Nikamwuliza what is holding you from that? Jibu lake lilikuwa ni "tukikubaliana kuwa sisi ni middle-incomecountry tutakosa hela za IMF'! Kimsingi sikumwelewa hadi ametoka madarakani! Maana kama kuna maeneo ya kuvuta fedha kwa ajili ya maendeleo, IMF inaweza isiwe sehemu bora kuliko nyingine zote!
kituko kingine.....hawa viongozi JK anawatoaga wapi?
 
Back
Top Bottom