Kwa sababu mbegu zinaingia mpaka kwenye maini
Wandugu,
Eti inasemekana wanawake wembamba wanapata mimba kirahisi kuliko ilivyo kwa wanawake wanene. Hii ina ukweli kiasi kiasi gani na kama ni kweli, sababu yake ni nini???
Kwa sababu mbegu zinaingia mpaka kwenye maini
Nasikia ukiwa mnene kizazi kinazungukwa na mafuta sana kwa hiyo kinaziba chance ya kubeba mimba
Kwa sababu mbegu zinaingia mpaka kwenye maini
kweli???Nasikia ukiwa mnene kizazi kinazungukwa na mafuta sana kwa hiyo kinaziba chance ya kubeba mimba
we utakuwa unapewa kwa mkojo, mwambie unataka kwa mtoto, tatizo hamzungumz!!! Au na wewe unatatizo, bonge au potable wote wanaposibility sawa ya kupata mtoto/mimba
Si kweli Dinnah...hakuna kitu kama hicho kimewahi kuwa documented in medicine. Sehemu kubwa ya kizazi ni 'msuli', hakuna sehemu ambapo mafuta yanaweza kujilimbikiza. Mafuta kujilimbikiza tumboni ni kawaida kwa wanawake wanene, lakini 'tumbo la uzazi' au 'tumbo la chini' huwa halilimbikizi mafuta kwa kiasi kikubwa.
Mbona mabonge nyanya tunakazi!
tinna cute usijali hawa wanatumia sayansi kimu kwenye sayansi baolojia. ule mpango wetu wa kupata ma-twins upo palepale
tinna cute, sina hata chembe ya wasiwasi