Eti ni kweli wanawake wembamba wanapata mi..... kirahisi kuliko wanene??

Dumelambegu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,052
257
Wandugu,
Eti inasemekana wanawake wembamba wanapata mimba kirahisi kuliko ilivyo kwa wanawake wanene. Hii ina ukweli kiasi kiasi gani na kama ni kweli, sababu yake ni nini???
 
Wandugu,
Eti inasemekana wanawake wembamba wanapata mimba kirahisi kuliko ilivyo kwa wanawake wanene. Hii ina ukweli kiasi kiasi gani na kama ni kweli, sababu yake ni nini???
 
Dumelambegu

Senior Member
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_pos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png
reputation_highpos.png

Avatar yako na user Id yako , inaonekana we ndo Expert, anyway tungoje watujibu hata mi mgeni maeneo haya!!!!
 
Dume mbona unaniangusha?unatoka advanced course to basic?wakati wewe ndio umebobea kwenye hii research?
 
Nasikia ukiwa mnene kizazi kinazungukwa na mafuta sana kwa hiyo kinaziba chance ya kubeba mimba
 
Mkuu umesahau biology hadi ulete hii. hayo ni maumbile tu, kupata mimba inategemea amefanya sex wakati gani na kama yuko safi katika kupata mimba bla kujali body morphology!
 
we unaonaje,kaka vp mbn 2naibishana tena mwalimu mnyika aliruka topic nin hd unakuja kuleta topic km hi...au ndo wale walioxma xcl za kata...hbari gn tena hyo bn unaeleza wana jamii
 
we unaonaje,kaka vp mbn 2naibishana tena mwalimu mnyika aliruka topic nin hd unakuja kuleta topic km hi...au ndo wale walioxma xcl za kata...hbari gn tena hyo bn unaeleza wana jamii

Wala mwalimu hakuruka topic, inavoelekea mtoa mada anataka kutest sehemu sasa anataka confirmation!!!!:lol:
 
Dumelambegu inawezekana anataka kuoa na mbele yake kuna candidates wawili mmoja mwembamba na mwingine mnene. Sasa anataka tumsaidie. Ni kweli nami nimewahi kuambiwa suala hilo na ukiangalia kuna mantiki fulani. Inasemekana wanawake wanene wana mafuta mengi mwili kiasi kwamba hata kizazi nacho huwa kinazungukwa na mafuta. Sasa sijui hiyo kama ni kweli. Eti mwanaume akicheua na kuachia risasi zake ndani nyingi zinakuwa absorbed/neutralized na mafuta. Kwa hiyo nakushauri tafuta binti ambaye ni wastani.
 
nikweli ndugu coz wkt wa mamboz kunaposibility ya manii zote kuzama kitu tofauti kwa mabonge!
 
Nasikia ukiwa mnene kizazi kinazungukwa na mafuta sana kwa hiyo kinaziba chance ya kubeba mimba

Si kweli Dinnah...hakuna kitu kama hicho kimewahi kuwa documented in medicine. Sehemu kubwa ya kizazi ni 'msuli', hakuna sehemu ambapo mafuta yanaweza kujilimbikiza. Mafuta kujilimbikiza tumboni ni kawaida kwa wanawake wanene, lakini 'tumbo la uzazi' au 'tumbo la chini' huwa halilimbikizi mafuta kwa kiasi kikubwa.
 
Back
Top Bottom