Eti napendwa tena...

iphoneman

Member
Oct 16, 2011
37
2
nmepita 2 hku leo ila naomba ushauri kwa wana Jf. Kuna msichna nlitokea kumpenda toka mara ya kwanza kupata kukutana nae {2005}, ila 2kaja kupotezana nae had nmekuja kuonana nae tena hivi karbuni {2009}, 2kaanza mahusiano nae na katka mazungumzo ye2 ya mwanzo akaomba nisije kumuumiza kwan alishaumizwa sana awali nami ckuwa na hiyana na hlo. Chakushangaza ss n kwamba 2kiendlea na mahusiano kuna vtabia ckuwa napendezwa navyo na nlikua nkmwambia lakn naona bado haelewi mwsho wa cku nkampga stop kwa mda kuja kwangu 7bu ya hvyo vitabia na nkamwambia cwez kuoa mtu wa tabia ile, akanijibu kwmb hta yeye hajafkiria kuolewa na mm kwa ss lakn baada ya mda kdogo kupita akaanza kuomba msamaha eti turudiane nae na ananipenda sana na ameshakuja kwangu mara kadhaa akitaka nim-doo ila nkamkatalia lakn bdo simu na meseji haziachi kumiminika kunitaka tena. Nisaidieni nfanyeje au niamuaje mie kuhusu huyu mtu.
 
Kwahiyo tukusaidie kufanya maamuzi sio?

Haya nenda kwa sonara leo umnunulie pete ya almasi, kisha mwombe mwende kwao kama ni hapo hapo mjini.Ukifika omba kuongea na baba yake pembeni umweleze kwamba unataka kumuoa bintie na pale upo kuchumbia. Akikubali mwite mama nae umweleze, nae asipokua na matatizo mwite binti umweleze niana pete umvishe.TABIA MTABADILISHANA MBELE YA SAFARI.
 
ana vitabia gan?anakojoa kitandani?anasachi suruali zako ukiwa umelala?
Ni kweli mkuu iphoneman hebu funguka juu ya hili!
:focus:
Hata hivyo muangalie kwanza je ameshajirekebisha juu ya hizo tabia ambazo huzipendi???
Kama harekebishiki ni ngumu sana mtu kubadilika akiwa kwenye ndoa.
Usioe km hujaridhika nae 7bu itakucost sana mbele ya safari!

 
ana vitabia gan?anakojoa kitandani?anasachi suruali zako ukiwa umelala?

Anapenda sana hela na matumizi mabaya ya fedha, anapenda sana kwenda disco, anapenda kulaumu vitu visivyo vya msingi na vngnevyo
 
kuwa wazi ili tukushauri! ni vitabia gani hivyo vya kusababisha umteme?? kwa stahili hii utaacha wangapi?? coz hayuko ambae hana vitabia!
 
Anapenda sana hela na matumizi mabaya ya fedha, anapenda sana kwenda disco, anapenda kulaumu vitu visivyo vya msingi na vngnevyo
mbona hayo mambo madogo na yanarekebishika, kwani hizo hela huwa anakuibia au we unatoa mwenyewe??
 
Mpangie bajeti
disko nenda naye kwa sasa, ila ukimzalisha watoto 2 fasta hatakumbuka disko

analaumu nini? Au na wewe ni kavulana kanalalamika hovyo hovyo.


Anapenda sana hela na matumizi mabaya ya fedha, anapenda sana kwenda disco, anapenda kulaumu vitu visivyo vya msingi na vngnevyo
 
go ahead iphonemeno....... kama anakukera chapa lapa na kama utaweza mrekebisha chil nae
 
mbona hayo mambo madogo na yanarekebishika, kwani hizo hela huwa anakuibia au we unatoa mwenyewe??

Bora ingekua natoa kwa kujua matumiz halali ila anadanganya 7bu na ninapompa hutumia vngnevyo kisha huomba upya, nlishamkanya ila bdo haelekei kuelewa
 
Mpangie bajeti
disko nenda naye kwa sasa, ila ukimzalisha watoto 2 fasta hatakumbuka disko

analaumu nini? Au na wewe ni kavulana kanalalamika hovyo hovyo.

Cjawah kulalamika juu yake zaid anapofanya kosa hua nachunguza then nakaa nae chini namueleza, ila mm inapotokea katuma meseji cjamjibu, kabip cjapga na kaomba salio cjam2mia n kosa na itakua kesi cku nzma.
 
Jambo la kwanza inaonyesha kwa sasa wewe humpendi tena huyo binti. Mi nakushauri ukae upime upendo wako kwake, kama upendo umeisha ghafla mwambie ukweli na uachane nae.
2. Kama bado unampenda, kupenda pesa na kwenda disco siyo tatizo la kimsingi. Anapendaje pesa? Je, anaomba pesa kwa wanaume wengine? au anakuomba wewe? kama anakuomba wewe na inapilitiza basi kaa chini umulize pesa anazoomba anafanyia nini? hilo ni jambo dogo tu, hata hivyo kila mtu anapenda pesa coz ndiyo maisha yenyewe. Kuhusu kwenda disco ni hobby tuu hiyo na ina rika lake, kama haendi disco kwa mabaya (kutafuta wanaume) hapo hakuna tatizo. Wangapi wanaenda disco bana au unamtafutia sababu za kumpiga chini?
3. Wewe ulimpenda wakati ukiwa mdogo, ila baada ya kupotezana na kuonana baadae ulimtamani tu. Sasa umekuta mambo uliyokua unatarajia hayapo unataka kukimbia. Mwambie ukweli na muachane kwa amani kama mlivyokubaliana kupendana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom