Mchawi ni lazima atafutwe kwa sababu si 'sisi' sote ni wachawi. Ni baadhi miongoni mwa 'sisi' ndio wachacwi, kama ulivyoonyesha mwenyewe makundi yanayojihusisha na biashara-vyombo vya usalama, wafanyabiashara na viongozi (wa kisiasa?). Hivyo ni lazima tutafute miongoni mwetu ni nani anahusika. Tukiachia kusema mchawi ni 'sisi' tutakuwa hatujitendei haki kwa sababu si 'sisi' wote tunahusika na biashara hiyoKwa ufupi, tusitafute mchawi ni sisi wenyewe.