Eti mimi nachekesha

Michael Ngusa

JF-Expert Member
Aug 4, 2014
1,637
458
Mimi na mke wangu tumekuwa kwenye ndoa ambayo ugomvi ni mara chache sana kutokea, kila tunapokuwa wote katika maongezi mara nyingi mke wangu huishia kuangua kicheko sana, anasema katikati ya maongezi kuna maneno huwa nachomeka ambayo yanamvunja mbavu sana.

Mfano ni jana ambapo kuna kitu aliongea nilipomjibu alianza kucheka mfululizo huku kila akitaka kurudia kile nilichosema, anaingia kwenye bonge la kicheko tena...mpaka akajikojolea.

Nikaona nibadilishe mada lakini mwenzangu nikaona ndo kwanza anaanza kutambaa kama mtoto sakafuni, nikakimbilia chumbani akanifata, kufika akaendelea na vicheko tena huku anaachia mashuzi (anajamba), nikashtuka kuwa isijekuwa ni ishu ya kiafya, either zimemruka ndo nikaamua kuanza kumchapa makofi, hatimaye akatulia, lakini alinishtua, ila baadae akadai ni kucheka tu, haikuwa ugonjwa.
 
Eish!! Maswali mengine bwana...sasa sisi tunakaa na wewe had tujue unachekesha na hiko kicheko had cha kujikojolea mbona kama fix???? Haya bas tushajua mkeo kajamba na ukampiga kofi


Cc. Mafikizolo
 
Last edited by a moderator:
Duu pole sana imefikia hapo? ebu weka picha yako tuone ulivyo inawezekana kua sura yako na ukizungumza ndio anacheka lakini hiyi ya mashuzi na mikojo kumtoka kali...........
 
mmmh! hii ni ngumu kumeza, ila angalia kama hana hysteria/chekelea (sina uhakika na jina sahihi), ni ugonjwa.
 
Hahahahahahha tumuulize tu John Ezekiel vipi unamtimizia vizuri haja zake(gegendo)? usikute ndo tayari kale kaugonjwa kaupata ka chekelea
Eish!! Maswali mengine bwana...sasa sisi tunakaa na wewe had tujue unachekesha na hiko kicheko had cha kujikojolea mbona kama fix???? Haya bas tushajua mkeo kajamba na ukampiga kofi


Cc. Mafikizolo
 
Last edited by a moderator:
Wengine tubaki tuu kuwa wachangiaje jamani sio lazima wote tuanzishe sredi. By the way kwa akili uliyokuwa nayo we na mkeo lazima mzae vituko kama sio mental.
 
Mimi na mke wangu tumekuwa kwenye ndoa ambayo ugomvi ni mara chache sana kutokea, kila tunapokuwa wote katika maongezi mara nyingi mke wangu huishia kuangua kicheko sana, anasema katikati ya maongezi kuna maneno huwa nachomeka ambayo yanamvunja mbavu sana.
Mfano ni jana ambapo kuna kitu aliongea...nilipomjibu alianza kucheka mfululizo huku kila akitaka kurudia kile nilichosema, anaingia kwenye bonge la kicheko tena...mpaka akajikojolea! Nikaona nibadilishe mada lakini mwenzangu nikaona ndo kwanza anaanza kutambaa kama mtoto sakafuni, nikakimbilia chumbani akanifata, kufika akaendelea na vicheko tena huku anaachia mashuzi (anajamba), nikashtuka kuwa isijekuwa ni ishu ya kiafya, either zimemruka ndo nikaamua kuanza kumchapa makofi, hatimaye akatulia, lakini alinishtua, ila baadae akadai ni kucheka tu, haikuwa ugonjwa.

mkeo ana genye mshindosis unaishia kumpiga makofi.....
 
Kwahiyo unataka na sisi tucheke mpaka tujambe?mana ulichokipost tu hapa ni kituko,hakika mkeo ana haki ya kujikojolea na kujamba wewe ndio una matatizo.
 
hiyo lazima itakuwa ni dalili ya hysteria, otherwise ana mental problem,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom