Eti mechi za kirafiki haswa mchangani huongeza kiwango...

kuongelea ngono ni lazima....na matangazo yoote hayo ya condom kama bado hutumiii basi acha kabisa usifanye....lakini ni lazima kuongelea ngono..... Wewe ni mtu mzima unajua nini naongelea........

mimi sijakataza watu kuongelea ngono na hata nikikataza neno langu sio sheria. Mimi ninachoshangaa ni watu ku support wanandoa kutokuwa waaminifu katika ndoa zao. Nadhani utakuwa umenielewa sasa.
 
mimi sijakataza watu kuongelea ngono na hata nikikataza neno langu sio sheria. Mimi ninachoshangaa ni watu ku support wanandoa kutokuwa waaminifu katika ndoa zao. Nadhani utakuwa umenielewa sasa.

Hiyo sio nzuri kucheat kwenye ndoa......... na endapo mtu anazidiwa lazima atumie mpira.....
 
. Kujaribu kuhalalisha uzinzi tu

Ndo maana wake zenu hawafungi dirisha dogo la usajili

Ati???? Umesemaje weye mwanamke?? Nitakutoa meno ya barazani! Mwanamke haruhusiwi! Nikirudi kwenye mechi ya mchangani, fulu malavidavi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom