Inawezekana kabisa kupata mimba wakati wa kunyonyesha, apime tena akiwa na wiki 8 kama walivyoshauri wengine. Kuhusu kunyonyesha akiwa na mimba nalo pia anaweza kuendelea kama ataweza kula vizuri vyakula vitakavyomletea afya bora kwa ajili yake,mtoto anayenyonya na aliyeko tumboni(hakuna kubemenda kitaalamu).Mpate ushauri toka kwa Gynacologist akienda clinic(kama kweli ni mjamzito)