Matendo Andrew
JF-Expert Member
- Apr 1, 2014
- 748
- 365
Kwenye sehemu nyingi za kazi inasemekana kufahamiana ndiko kunachukua nafasi kubwa kuingiza watu kazini kuliko wanao honga hela
na wenye uzoefu na elimu kwenye kazi husika ndio hua wa mwisho kuangaliwa, kwahiyo kua kwako na vyeti vizuri uzoefu wa kutosha kusikupe kiburi, jifanye mjinga hata kwa kuwanunua ndugu maeneo ya kazi hata mlinzi pale getini ana nafasi kubwa ya kukuunganisha
kuliko ukimdharau na kusema mimi nina vyeti na uzoefu wewee utazunguka saana na vi certificate vyako kila kona holaaaaaaa!
USIKATE TAMAA CHANGAMOTO TUU HIZI