Eti kamati imeundwa

mamkhande

Member
Apr 12, 2011
45
19
Jamani inasikitisha sana Kuundwa kamati ya umeme kukatika uwanja wa taifa na samahani kuombwa,ila sijasikia Tanesco wala wahusika wakiomba samahani kwa watanzia ambao umeme kwao imekuwa ni ndoto, vipimo operation kwenye hosptal hakuna ukiuliza umeme hakuna kila sehemu ya nchii hii imezungukwa na giza wala ufumbuzi hakuna alafu wanahimiza watu washerehekee miaka hamsini ya uhuru???HIVI HWA VIONGOZI NA RAISI WAO HAWAONI AIBU C WANATOKA LAKINI KWENDA NCHI ZA JIRANI HAWAONI MAENDELEO AMA HAWANA WIVU WA MAENDELEO?Internationa airport umeme unakatika hii si aibu?
 
kwa ufupi hatuna uongozi kiserikali na kunahati hati upande wa bunde na mahakama!!
 
Si umesikia wajanja walikunywa yale mafuta ya jenereta. Kwa hiyo jenereta halikuwa na mafuta. Bado waziri anaunda tume, ya nini?? Ushahidi uko wazi, watu wameiba mafuta bado unaendeleza loss kwa kuunda tume!!

Hivi tume zina tija gani nji hii. Tumeshuhudia tume lukuki zimeundwa na zikaja na mapendekezo mazuri lakini serikali imeyaweka kapuni, nini maana yake?? Anyway twendeni hivi hivi, 2015 siyo mbali tuombe mungu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom