Eti JF ni CHADEMA?

HALAFU mimi of all the people,hakuna wana jeiefu wanaoniudhi kama wale wanaokuja na post zao mpya wamezi-source huko kwa sijui nani michuzi,mara sijui nani.mara nyingi huwa ni majungu
 
HALAFU mimi of all the people,hakuna wana jeiefu wanaoniudhi kama wale wanaokuja na post zao mpya wamezi-source huko kwa sijui nani michuzi,mara sijui nani.mara nyingi huwa ni majungu
Haya ndo mambo ya kudare to talk openly mkuu
 
hilo swala nimeliona kwa michuzi watu wame comment lakini inaonesha ni jinsi gani hao watu hawaijui jf kwani sijaona mtandao wowote ambao unatoa uhuru wa hoja kama jf.nina huakika hao ni watu wenye chuki binafsi.
 
Inawezekana kuwa JF ni Chadema kwa sababu:
Kuanzia viongozi wa ngazi ya kitaifa hadi mitaa ni wanachama hai na wakudumu wa JF.Hii ni tofauti na vyama vyengine. Na mara nyingi ukisoma katiba ya chadema utakuta falsafa na itikadi zake zinafanana sana tu na za memba vinara wa JF(mfano Mchukia Fisadi {bila ya fitna}) na wenzake.Sababu nyengine hata mijadala inayotokana na mada zinazoisema au kuikosoa chadema inakumbana na "majibu makali" kutoka kwa memba hao na wengine wengi wa JF.
Hata mada ya kawaida tu inayohusu chadema itakuwa na michango meeengi ya wana JF kuonyesha kuwa wanaguswa kwa unywele na ukucha na hali ya chama chao pendwa, mfano mada ya Mh.Zitto na hali ya uchaguzi wa chadema, hii ni tafauti na chaguzi za vyama vingine kama CUF naTLP ambavyo majuzi tu vilikuwa na chaguzi za viongozi wao, hatukuona 'server' ya JF kuzidiwa au vp na 'response' ya memba ilikuwa ndogo as if hakuna linaloendelea katika vyama hivyo.
Circumstencially unaweza kusema kuwa JF ina memba wengi wanachama wa chadema au symphasizers wa chadema au hata si dhambi kusema kuwa wanafafana na mitazamo ya chadema.
Ni mtazamo tu.
 
Junius
1.Chadema ni chama makini na kina memba wengi ndio sababu wamejaa hapa JF na hata kwingineko jaribu kutembelea utawakuta:D Lakini kama chadema ni chama cha jf je wewe kafu kwa nini unashinda hapa jamvini kila siku???????

2.Vyama vingine kama ulivyotaja hapo juu ni mahututi vingine vimeshakufa. Nikutajie majina? Hapana ngoja niache lakini na hicho cha kwako kinaelekea mazikoni.

3.Mahali kuna watu wengi great thinkers michango nayo huwa motomoto. Sasa wajadili nini kuhusu chama chako kilicho na wanachama visiwani tu tena si visiwa vyote bali kisiwa kimoja tu cha Pemba?

4.Karibu Chadema chama cha demokrasia halisi.
 
Last edited:
Kwanini habari za Chadema tu ndizo zinazotawala hapa? mbona hatuoni vyama vingine? au hotuba za viongozi wengine wa upinzani.

Mkuu Haki hivi hujui jamii forums na CHADEMA ni kama paka na maziwa.
Jaribu kuleta habari za vyama vingine zitaondolewa haraka sana.
Hii kitu kwa kweli inanichefua sana hata mambo ya kipuuzi ya CHADEMA yanapewa umuhimu usiostahili.

Jamii forums lazima wajaribu kuliangalia hili suala la CHADEMA kulifanya hili jamvi ni lao.

Jaribu kumponda kiongozi wa CHADEMA hapa nakwambia utashagaa jinsi makada watakavyo kushukia kwa utetezi wa ajabu ajabu.
kuna wanajamvi mahiri kama Mwanakijiji linapokuja suala la CHADEMA utashangaa jinsi wanavyojikanyakanyaga.Mfano mzuri ni wakati Zitto Kabwe alipotetea ununuzi wa mitambo chakavu ya Dowans,mwanakijiji aliandika Zitto kateleza tu.angekuwa ni mwanasiasa wa chama kingine tofauti na CHADEMA angeshambuliwa mpaka atoboke kwa maandisha makali.
 
Ingekuwa JF ina udugu na CHADEMA basi mada hizi zisingepewa fursa ya kuwepo.... Tena nyingine zina nyeti kibao!

Anyway, ndiyo Jamii yetu, kila mmoja ana uhuru wa kuongea kadiri ya mawazo yake. Sasa wale wataalam wa kulalamika watalalamika kuwa hizi topic zinazoongelea udugu wa JF na CHADEMA zimeunganishwa, kila mmoja anataka topic yake ikae kivyake... Ngumu lakini Inshallah Mwenyezi Mungu mwingi wa Rehema anatuwezesha kuvumilia tu.

Angalia topic hizi:

  1. CHADEMA cannot be trusted with our National Security
  2. Mbowe Kafeli Masomo?
  3. Mbowe ahusishwa na UFISADI wa kuimaliza NSSF
  4. CHADEMA flip flopping at its best! Jisomee mwenyewe uone
  5. Mbunge Wa Chadema Azomewa: TIT FOR TAT
  6. Vita Kali Ndani Ya Chadema
  7. Chadema ni wasanii! - Mtikila
  8. CHADEMA stop being greedy…..
  9. AGREY MAREALLE na KASHFA YA WIZI -JE (CHADEMA) WATATIA NENO?
  10. Wafundisheni CHADEMA balance & separation of powers
  11. CHADEMA Acheni Usanii!
  12. CHADEMA wanapoandamana Kumtaka Mbowe atoe Maelezo Kuhusuiana na Kifo Cha Wangwe
  13. CHADEMA: What on earth is this?
  14. Mbowe vs Chifupa + CHADEMA vs Family Business
  15. Chacha Wangwe vs CHADEMA!
Na nyingine kibao!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom