eti jamani wanajeshi si watu au?

nziriye

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
1,050
361
Jamani wapendwa,nipo nawaza na kuwazva hv wanajesh hawapo ktk kundi la watu ama?sikumbuki kama ktk milipuko ya mabomu ya mbgala kama walitaja ni wanajesh wangapi walifariki au wanajeshi si watu?kubwa kuliko ni hl la gongo la mboto nimesoma ktk gazeti eti mwanajeshi mmoja wa kike ndo amekufa ktk ile milipuko hv hao wanajesh si watu au ni mie ndo sisikii idadi yao.


Wanajf anayejua idadi kamili please anijuze?
 
Wanajeshi ni watu mkuu
Mbagala walisema walikufa watatu (kama sikosei)
Ila hii ya Gongo la Mboto inasemekana hawajafa kwani walijua kabla kuwa yatalipuka (taarifa kutoka ndani ya jeshi), na yule mkaguzi aliyekuwa anaongea na wanahabari ndiye aliyefanya ukaguzi last year na kubaini kuwa yatalipuka mda wowote na alitoa taarifa serikalini lakini likafanywa swala la kisiasa.

Na alisema uongo kuwa alikuwa kafanya ugazuzi siku moja kabla ya tukio.
 
Huwa nawashangaa sana. Kwanza wao huwa hawajiiti raia ukimuuliza we raia wa nchi gani anajibu me mwanajeshi wa tz u nchi nyingine. hata sijui manake nini.
 
nakumbuka siku ile hata ndege haikusikika, two or three hrs kabla ya tukio, it is like someone knew what was due to happen
 
nakumbuka siku ile hata ndege haikusikika, two or three hrs kabla ya tukio, it is like someone knew what was due to happen
Exactly, hawa jamaa walijua kabisa, na haya wanasema wenyewe na waliondoka mapema eneo la tukio.
 
Back
Top Bottom