cacico
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 8,362
- 7,797
kama ni kweli sifa ziende kwake babu, kweli pesa ni kitu kingine!eti ni first lady IPP MEDIA!
kama ni kweli sifa ziende kwake babu, kweli pesa ni kitu kingine!eti ni first lady IPP MEDIA!
Huyu si haka kabinti kanajiita Lina "malkia wa bongo flavor"...sijui kamempata predeshee gani anayekapa trip za kwenda mbele kila uchao
Huyu ndio wale wale hana tofauti na uliye naye labda mnababaika na urembo wa dukani.
tigo inalipa mkuu...huna habari???
Huyu lazima aukwaa ubunge viti maalum...subirini
habari hiyo sinayo kwa kweli