eti huyu ni nani?

BAGAH

JF-Expert Member
Jan 17, 2012
4,523
1,060
sura yake kama naifahamu...
inakuja inapotea...
tukumbushane...
 

Attachments

  • 297501_420274324681252_1549864807_n[1].jpg
    297501_420274324681252_1549864807_n[1].jpg
    51.5 KB · Views: 1,625
Huyu si haka kabinti kanajiita Lina "malkia wa bongo flavor"...sijui kamempata predeshee gani anayekapa trip za kwenda mbele kila uchao
 
Hivi utaruka hapo kweli??
Labda uwe han...th. lol
Yaani nikioa mke kama huyu, ikifika saa kumi na moja jioni namwambia tayari usiku ushafika tukalale.

Akitoka kuoga, naenda nje dirishani naanza kumchungulia akivaa, maana nikikaa hapo hapo, sijui.

Sijambo dogo, za siku??

Hebu toa ulaza wako hapa!
BTW
Hujambo dogo wangu?
 
Huyu ndio wale wale hana tofauti na uliye naye labda mnababaika na urembo wa dukani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom