sijaelewa mwenzenu yani kuna barabara nne kitonga sasa hivi?
Ndiyo hiyo kitonga.Bee karibu kukaya.sijaelewa mwenzenu yani kuna barabara nne kitonga sasa hivi?
si zimenichanganya wangu!yani dah natamani nipate safari ya mbeya hata kesho japo nipaone tu niridhike na macho yangu!Hata kuhesabu pia umekosa. Ni barabara sita wangu!
Tunnel no 1.inaenda mor to dar.no2 inaenda dom.no3 inaenda mbeya.no 4 inaenda iringa.karibuni kuboma iringa.Ndiyo hiyo kitonga.Bee karibu kukaya.