Eti Gamba na uchawi Je?

mku

Member
Mar 27, 2011
88
9
Katika pitapita zangu nimekumbana na mambo mengi sana ya kishirikina ndani ya CCM. Na waliowengi ndani ya hicho chama wamekuwa mstari wa mbele kuabudu ushirikina kuwa ndo kinga ya nafasi zao ndani ya chama. Wengine hasa wanaogopa kugombea kwa kuogopa kulogwa. Viogozi wa CCM wengi wameenda kunawa uso pale kisima kisicho kauka pale bagamoyo kwenye makaburi ya waarabu wakiamini kuwa kufanya hivyo wanapata kinga ya uongozi wao, wengine wanatega dawa mpaka bungeni. Kuna matukio mengi sana ya kuuwana humo CCM pale watu wanapotaka kugombea nafasi ndani ya chama. Mwanza kule naona ndo kunaongoza, katibu wa CCM kata aliuwawa na sasa Raphael Chegeni anawindwa.

Hii inatosha kumpa picha hata yule asiyeijua CCM kwamba ni chama ambacho hakiko kwa maslai ya Taifa bali kwa msali ya watu binafsi. Kama ingekuwa kwa maslai ya Taifa sidhani kama kungekuwa na haja kuuwana. Sasa kama nyie huko ndani mnatafutana na kuuwana kwa ajili ya uongozi kweli mna mda wa kuangalia mstakabari wa nchi?

Wanachama cha Magamba hili nalo ni mojawapo ya magamba mnayoyavua?

nimekumbana na mambo mengi sana ya kishirikina ndani ya CCM. Na waliowengi ndani ya hicho chama wamekuwa mstari wa mbele kuabudu ushirikina kuwa ndo kinga ya nafasi
zao ndani ya chama. Wengine hasa wanaogopa kugombea kwa kuogopa kulogwa. Viogozi wa CCM wengi wameenda kunawa uso pale kisima kisicho kauka pale bagamoyo kwenye makaburi ya waarabu wakiamini kuwa kufanya hivyo wanapata kinga ya uongozi wao, wengine wanatega dawa mpaka bungeni. Kuna matukio mengi sana ya kuuwana humo CCM pale watu wanapotaka kugombea nafasi ndani ya chama. Mwanza kule naona ndo kunaongoza, katibu wa CCM kata aliuwawa na sasa Raphael Chegeni anawindwa.

Hii inatosha kumpa picha hata yule asiyeijua CCM kwamba ni chama ambacho hakiko kwa maslai ya Taifa bali kwa msali ya watu binafsi. Kama ingekuwa kwa maslai ya Taifa sidhani kama kungekuwa na haja kuuwana. Sasa kama nyie huko ndani mnatafutana na kuuwana kwa ajili ya uongozi kweli mna mda wa kuangalia mstakabari wa nchi?

Wanachama cha Magamba hili nalo ni mojawapo ya magamba mnayoyavua?[/QUOTE]

Chacha Wangwe!

Umewakumbusha! Hivi yule mzee aliyemwaga juju bungeni ni wa chama gani? Na anaitwa nani?

Similar Discussions

Back
Top Bottom