Ethiopian Airline Boeing 767 yatua Arusha kwa dharura

Trip fuel + taxi fuel without any load she can take off to KIA. I believe in that, let us keep our fingers crossed
 
mkuu HAUKO SAHIHI. kuna vitu vifuatavyo katika operations upande wa Kuruka kwa ndege (Ntakutajia Baadhi)

1. Take off weight (Huu ni uzito wa jumla wa mizigo iliyopo kwenye ndege yaani abiria, mizigo yao, mafuta ya safari, mafuta ya dharula, wafanyakazi wa ndani ya ndege na vifaa vyote vilivyomo)

2. Maximum take off weight (Huu ni uzito ambao ndege haitakiwi kuuzidisha ili iweze kuruka)
Hivyo hapa unatakiwa uchague moja, ukiweka mafuta mengi basi utajikuta kuwa uzito wa mafuta unakulazimisha uchukue abiria kidogo ili usivuke Maximum take off weight, n ukitaka kuchukua abiria wengi itakulazimu uweke mafuta kidogo na mizigo mingine iwe kidogo)

Mfano nitakupa Safari za Precision Air kwenda Mbeya. Ndege utakuta ina nafasi lakini wanakwambia imejaa. Hii ilitokana na kulazimika kuchukua abiria wachache ili wabebe mafuta mengi ya kuwawezesha kwenda mbeya na kurudi kwani mbeya hakuna kituo cha kujaza mafuta ya ndege. ina maana wangechukua mafuta kidogo wangeweza kubeba abiria wengi lakini wangerudi vipi Dar?

Kama hutaelewa na Hapo itabidi unipe email nikutumie notes za kukusaidia

Nilitaka nisichangie hii thread lakini upotoshaji kama huu siwezi kuvumilia...Kwenye maandishi mekundu, una maana kuwa walio-design ndege ni wajinga kiasi kwamba idadi ya abiria itakayochukua inategemea kiasi cha mafuta ndege iliyoweka. Kwa hiyo ndege yenye siti 200 ili ibebe watu 200 kama (siti zilivyo), inabidi factor ya mafuta iangaliwe! Kwa hiyo idadi ya zile siti zimewekwa tu na ili uzijaze au usizijaze inategemea mafuta uliyobeba? Big NO! Sio kweli Mr/Mrs. Wanapo-design ndege wanaangalia vyote na kama ina siti 200 itakuwa na uwezo wa kubeba watu 200 IWE IMEJAZA MAFUTA au HAIJAJAZA MAFUTA!
 
Hili likuwa wazi PakaJimmy hilo dege siyo la mchezo bhana!

Kuna waandishi wa BBC hapa na mitambo yao ya ajabuajabu, wakiwa wameitega ili kunasa hadi milimita ya kwanza ya muondoko, na wanasema kila kinachonaswa na wao kinaingia moja kwa moja pale London.
Kuna waandishi wa habari wa magazeti yote, TV zote na redio zote!

Eneo hili la kiwanja sasa hivi limekuwa na kituo maalum cha mabasi na teksi, bajaji, bodaboda na baiskeli kwaajili ya kufacilitate watazamaji wa sinema ya bure!

Kuna wachangamkiaji wa biashara wameweka kila aina za vinywaji na vitafunwa, na wanauza mpaka basi.

Kama ndege hii itafanikiwa kuondoka basi itakuwa ni kilio kwa wajasiriamali wengi![/SIZE][/QUOTE]

Tunashukuru kwa habari kemkem mura kama vile nipo uwanjani vile. Any way mwenyenzi MUNGU ashukuriwe pekee!
 
Last edited by a moderator:
sina uhakika na unayoeleza kwani ndege ina maximum take off weight hata kama ni viti 200 na full tank fuel jee ndege itaruka kutoka usawa upi wa bahari? urefu wa uwanja? payload weight including pax,luggage, fuel and cargo ndio kuna somo linaitwa weight and balance
Nilitaka nisichangie hii thread lakini upotoshaji kama huu siwezi kuvumilia...Kwenye maandishi mekundu, una maana kuwa walio-design ndege ni wajinga kiasi kwamba idadi ya abiria itakayochukua inategemea kiasi cha mafuta ndege iliyoweka. Kwa hiyo ndege yenye siti 200 ili ibebe watu 200 kama (siti zilivyo), inabidi factor ya mafuta iangaliwe! Kwa hiyo idadi ya zile siti zimewekwa tu na ili uzijaze au usizijaze inategemea mafuta uliyobeba? Big NO! Sio kweli Mr/Mrs. Wanapo-design ndege wanaangalia vyote na kama ina siti 200 itakuwa na uwezo wa kubeba watu 200 IWE IMEJAZA MAFUTA au HAIJAJAZA MAFUTA!
 
nakubaliana na wewe kuhusu threshold lakini nambari imewahi kutokea dharura ya kutuwa ndege katika mtiririko huo wa runway numbers
mimi nimependekeza tu kutoka na tukio lililotokea na kubadilishwa nambari
najuwa nambari inakuja kwenye magnetic north na kama utaangalia approach plate basi kuna baadhi ya airport zimewekwa runway to true north
Kweli marubani hasa wa biashara wana test kila miezi sita na darasa kila mwaka
Masanja, ile mistari ya Pundamilia kutokana na wingi wake au uchache wake, huwa inakupa haswa urefu wa uwanja. Waweza kuangalia kwenye Google Earth viwanja vikubwa na vidogo au niseme Run Way fupi na ndefu utaona utofauti huo. Bahati mbaya mie nilifanya Project moja tu ya ku-design uwanja wa ndege na ni zamani, mengi niliyosoma wakati ule nimeshasahau labda nipitie vitabu na hiyo hamu sina.

Kukosea uwanja wa KIA na ARUSHA kwa rubani ni HAIWEZEKANI. Ni sawa na kusema kwa sababu Mwanamke ni Mwanamke, basi unaweza kukutana na Mwanamke wa urefu cm 180 mweupee na ukamchanganya na Mkeo mwenye urefu wa cm 160 na mweusi wastani. Ubaya na uzuri wa urubani ni kuwa mara kwa mara wanaenda kupigwa mtihani kuhakikisha kila kitu wanakumbuka. Ndiyo maana ndege zina ajali chache sana.
 
sina uhakika na unayoeleza kwani ndege ina maximum take off weight hata kama ni viti 200 na full tank fuel jee ndege itaruka kutoka usawa upi wa bahari? urefu wa uwanja? payload weight including pax,luggage, fuel and cargo ndio kuna somo linaitwa weight and balance
Sawa.... pamoja na vikocho-kocho vyoooooote lakni mimi nimekataa kuwa AMOUNT OF FUEL ndio ita-determine ndege ibebe abiria wangapi kama vitu vingine ni constant. Ndege inaondoka Paris mpaka Hongkong kwa mfano inaweza kuondoka kabisa na MAXIMUM number of passengers na MAXIMUM amount of fuel na isipate shida. Ndio maana kama ndege ilikuwa imesha-load mafuta na abiria to the maximum ikipata dharura tu mara baada ya ku-take off inabidi imwage mafuta kabla ya kutua
 
Back
Top Bottom