Et ni kweli..?

KENZY

JF-Expert Member
Dec 27, 2015
26,213
56,852
14708253_1679451872368768_2323292126543258800_n.jpg
 
Dah.....nimecheka kweli....hivi hili suala la vyeti 'feki', how serious is it....yaani kila ukienda vyeti 'feki' ndio wimbo....mnataka kuniambia kila mahali kuna watu wenye vyeti 'feki'??????????????
 
Mkuu hujasikia kuna wanafunzi hewa,mishahara hewa,wafanyakazi hewa n.k
hilo la vyeti bado linaendelea pamoja na hili la hewa
 
Dah.....nimesikia Ndugu yangu....Leo nilikuwa nazungumza na rafiki yangu mmoja akaniambia kuwa hata profession ya ualimu imeingiliwa kwa kiwango kikubwa kwani huenda shule nyingi za serikali zikakosa waalimu ghafula kwani eti wako wanaoacha kazi wenyewe kutokana na suala la 'vyeti 'feki'......dah.....
 
Ndo hivyo tena hii inaonyesha uozo uliokuwepo lkn pia lzm serikali iwe makini inaweza kuwa inajipiga dozi ya kulevya yenyewe maana kuna kukosekana tena kwa walimu au wafanyakazi
 
Wahurumieni nao wana tumbo na familia -ikiwa wanachapa kazi basi yaliopita ni ndwele tugange yajayo
 
Back
Top Bottom