Estomih mala wa cdm arusha -umeshemsha

Mfamaji

JF-Expert Member
Nov 6, 2007
6,631
1,926
Wakuu nilimwona huyu jamaa TBC akijitetea na kukataa kujiuzulu unaibu Meya wa Arusha nikashangaa kweli kweli. Maswali hakaja mengi mengi kihivi.

1. Hivi huo udiwani si aliupata kwa sababu alipitishwa na chama chake?
2.Hivi kamati kuu ya chama ikitoa maamuzi kama ilivyofanya CDM , namna ya kupingana na uamuzi huo ni kujipeleka TBC?
3. Hivi kama hawezi kutii maamuzi ya Kamati kuu leo , atamtii nani?
4. Kama hakupokea rushwa , kwa nini anakataa kujiuzulu wadhifa huo wa kupewa na Magamba?
5. Hivi Mala na wenzake wamebariki upuuzi wa CCM wa kuwapeleka Viongozi wakuu wa CDM mahakamani kwa kisingizio cha maandamano?
6. Hivi Mala anajua maana halisi ya udiwani au ndio wale wale wasiojua Chain of commands kama akina Ngeleja ?

Namshangaa Malla wa CDM arusha.

Naunga mkono hoja ya CDM . They should step down because the party did not authorise the so called MUAFAKA. Period
 
Mimi nadhani ifike wakati CHADEMA watueleze ukweli kwasababu wao wanadai viongozi taifa walikuwa wanajua kila kitu kilichokuwa kinaendelea na hasa Dr slaa ndiyo alietoa mapendekezo kuwa 1. Uchaguzi ufanyike upya 2. kugawana madaraka yaani mmoja meya mwingine naibu na mmoja aongoze kamati hii na mwingine aongoze kamati nyingine...ndiyo maana madiwa wana shangaa kuambiwa wamechukua rushwa wakati baraka zote zilitoka juu... maoni yangu kama CHADEMA taifa walikuwa wanajua kilicho kuwa kikiendelea basi watekeleze madai ya madiwani lakini kama hawakuwa na taarifa basi wawa ngoe kabisa...kingine nilicho kinusa ni bifu la mala na Lema kuwa Mala anataka kugombea ubunge kutipia CHADEMA mwaka 2015 hivyo kutokuwatumikia wana-Arusha inamwondoa kwenye kinyanganyiro hicho....hivyo hapa ni wazi taamaa za madaraka zina wasumbua...wananchi wanaulizwa mitaani tangu muingine mmefanyanini, hivyo wanajikuta hawana jibu....
 
Alaaaa kumbe haya ni maandalizi ya mwaka 2015 kwa Malla kugombea ubunge sio! Nimekupata CrashWise!
 
Malla hana lolote ameingiza chama kwenye migogoro Arusha maoni yangu atoswe na wale vibaraka wake wachache hata 50 sidhani Kama wanafika.
 
Malla hana lolote ameingiza chama kwenye migogoro Arusha maoni yangu atoswe na wale vibaraka wake wachache hata 50 sidhani Kama wanafika.

Koma ukomae nani kakwambia Malla diwani wetu hana lolote? Huyu ni mzee wa heshima na hana papara na hata akitoswa CDM bado atakuwa diwani wetu si kupitia Mgamba bali hat NCCR au CUF. Sisi tunamtaka kwa sababu ni mkweli na ni mtu asiyependa poroja za uongo kama mtangulizi wake Lawrence Hedi wa Magamba.

Suala la kutaka kugombea ubunge Arusha mjini najua patachimbika kwani Lema hatakubali na kwamba nakiri Malla hana support kubwa namna hiyo kama Lema.
 
Malla hana lolote ameingiza chama kwenye migogoro Arusha maoni yangu atoswe na wale vibaraka wake wachache hata 50 sidhani Kama wanafika.
Mimi aliniacha hoi ni pale alipotoa mfano wa mimba ya mwanafunzi yaani yeye apewe mimba na CCM aisingizie Chadema wapi na wapi.
 
nooooo noooooooooo hajachemsha to be honest some time u like the smaa politician u have to investgate before knowing the truth, i tkink he is right just wait u willl see what hapening, cdm some time their using mabavu hasa kwa top leider
 
haiingii akilini eti slaa na lema waliujua huu muafaka halafu baadae wanakataa,.no,hawa madiwani wamehongwa tu sababu ndio mchezo wa magamba,na tunaposema rushwa,haimaanishi pesa tu,hata vyeo walivyopokea bila baraka za viongozi wa juu ni rushwa,..narrow minded councilors wamekomaa eti waprove rushwa waliopokea,wanasahau kuwa hivyo vyeo ndio rushwa yenyewe....
 
kwa ufupi hawa madiwani wamekalia kuti kavu, huwezi kubishana na maamuzi ya CC ambayo ni chombo cha juu kabisa cha maamuzi, hiki kiburi sijui wanakitoa wapi
 
Back
Top Bottom