esther wasira aachia single yake aliyo shirikiana na man sulii..

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,895
mwana dada kakamua si mchezo. mi nlijua yupo kwenye siasa tu kumbe hata kwenye mziki anabamba kinyama. kaza buti dada. mia
 
namshauri akitengeneza video, amtafute sokwe mnyama aonekane akiwa anaiba mahindi shambani. Itakuwa dongo kubwa kwa dingi yake mdogo.
 
daah mpaka hapo ni nimemdisgrade mwambien kama anafanya siasa afanye lkn huko anapotea kama mzik bas achague mziki sasa specific carrier yake ni ipi mziki au siasa
 
Esther hajaanza leo kufanya music. Aliwahi kushinda pop idols kitambo. Nmesoma nae o"levels yuko vizuri sana. Alishawahi kutoa nyimbo inaitwa 'Sheila' ilikuwa 2002 au 2003 one hell of a rnb single.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kama kawaida ya cdm, inachukua vimeo halafu inawatukuuza kuwaona wa maana.
Watu walimkaribisha jf kwa mbwembwe mara kamanda, mara .....
Kumbe hana jipya.
 
kumba mziki ni kosa? mbona nyie komba anaimba hadi kwenye vikao vtenu hamumshushi. wewe unamuonea wivu kwa kuwa anafit kila sehemu. mia
 
daah mpaka hapo ni nimemdisgrade mwambien kama anafanya siasa afanye lkn huko anapotea kama mzik bas achague mziki sasa specific carrier yake ni ipi mziki au siasa

Kama hujui alianza muziki zaman alikua TZ pop idol no 2 mshindi alikua Banana Zorro miaka ya 1998 au 1999 kama sikosei so ulitakiwa ufahamu siasa kwake ni career ya pil baada ya muziki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom