Esther Bulaya awekwa mahabusu kwa kumtukana mkuu wa kituo

mende 2014

JF-Expert Member
Apr 13, 2014
763
131
Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CHADEMA kafika Jimbo la Bunda Esther Bulaya amewekwa mahabusu baada ya kutukana Mkuu wa kituo (OCS) kwa sababu ya kuwakamata vijana wa CHADEMA waliomfanyia fujo mke wa mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM Bunda mjini na kujeruhi watu wengine hadi kulazwa hospitalini.
 
Hivi kutukana siyo kosa? Watu wameumizwa na wengine kulazwa je hilo hulioni?

Kutukana nikosa hilo halina ubishi mkuu japo hatunauthibitisho

Lakin kuna mafundi kutukana
1. Mwigulu
2. Nape
3. Bulembo
5. Makamba senior
6. Kibajai-Lusinde

Hao nikwa uchache. Upuuzi wa vyombo vyetu vya dola, nikuminyina na wapinzani lakin matusi ya vingunge wa ccm huwa nasaha.
 
Nape, mwiguru, lusinde hao mbona hawakamatwi na ndio wapo kwenye ile kamati ya matusi wa watu 32
 
Hao askari nigroup la akina Andengenye, shilogile, kamuhanda, ighondu na akina Msangi.

Wao wakiambiwa jambo hatakama nikuminya haki na uhuru wakikatiba wao hutenda kuridhisha wanaowatuma kutafuta vyeo vya kupeana bila weledi.
 
Back
Top Bottom