Nakumbuka nilikuwa mmoja wa watu tuliopinga sana kuanzishwa kwa hii mahakama. Huko Kenya sasa hivi wanapigania iingizwe kwenye katiba. Fine. Hata sisi nadhani umefika wakati wa kuingiza hili jambo kwenye katiba na katiba ieleze vizuri kabisa kwamba mtu yoyote anayetaka kuhukumiwa na mahakama hiyo inatakiwa a-sign paper fulani kwamba anakubali kuhukumiwa na mahakama hiyo mpaka mauti yatakapomkuta. Nadhani hizi kelele zitakwesha na serikali itoe hela za kusaidia kutekeleza hukumu hizo na zaidi zaidi itoe upendeleo kwa wanawake wanaohukumiwa, double the money au siyo mzee mkandara? Na mafisadi wakukumiwe na hiyo mahakama bila kujali kama wame sign hizo paper au la. Kwa ndugu zangu wakristo nitarudi siku moja kuwaelezea ukristo na sheria/mahakama, kwa kifupi tu haya ni mambo yasiyowahusu.