Epuka na kudownload free application ambazo uzijui na azifahamiki 2011 -chizicomputer

edjizzo

Member
Nov 2, 2010
81
1
NDUGU WATANZANIA SISI NI WATU TUNAOPENDA VYA BURE SASA HACKER WOTE DUNIANI WAMEGUNDU MFUMO WA KUSOMA DATA ZA COMPUTER YAKO AMBAPO UKITUMIA INTERNET KWA SISI AMBAO TU INGIA TECNOHAMA KAMA NITAKUWA NAKOSEA
MWENYE MACHO AMBIIWI ONA ,ASIYE SIKIA BASI KAMA UNAPENDA KUTO TAPELIWA KUWA MAKINI
YA KWANZA ILIFANYIKA KWENYE INTERNET EXPLOLER 9 FACK
NA INASEMAKANA NA KUNA VITU VINGU AMBAVYO WATU WANA TUMIA KWENYE APPLICATION
INAKUAJE?
UNAPO INSTALL APPLICATION INAKUWA INA SOMA KILAKITU UNACHO FANYA MFANO MZURI KAMA UNAKARIBISHA MTUU NYUMBANI KUMBE MPELELEZI
ASARA?
ANAWEZA KUKUTAPELI KWA KUJUA UNACHO FANAYA MFANO AKIJUA UNATUMIA PASWORD YA EMAIL YAKO AU VITU VINGI
edjizzo@yahoo.com
0712484995
chizicomputer.blogspot.com
 
du kweli mkuu. kunasiku nilikuwa natumia internet, ika pop up window iliyokuwa na ujumbe wa kuni alert kwamba pc yangu inataka kuwa attacked na vius, hapohapo ikanipa bank statement yangu yaani namber nne za mwisho wenye credit card yangu pamoja na kisi cha hela kilichokuwepo. na kikawa in usd. niliogopa sana na ilikua usiku nikashinda kuzitoa ikabidi nizihamishe kwa njia ya paypal kwenda kwa rafiki yangu marekani. hakikuwa kiasi kikubwa sana nafkri wangekomba kama zingewaridhisha.
 
kama that happened, ulitakiwa ureport kwa bank yako. Inaonekana hio internet bank yako inasecurity mbovu. Au labda isijekuwa hio pop up ni ya bank yako?
 
Bank zetu hazina ubavu wala mda wa kutengeneza pop up wewe utakuwa ni wa ulaya ulaya wewe ndo maana majibu yako ni ya ulaya. huku kwetu huwezi fanya chochote panapotokea tatizo na shauri yako.
Nataka nikuambie kitu kimoja kama alivyosema chizicomputer, haya ma software ya bure ndio yana kopi user n pass za security zetu na wanaweza kufanya chochote hata kukuibia. lakini sio za bure tu hata paid programmes wanakuwa wanapata details zako kiurahisi tu.
 
kwani pop up ipo ulaya 2? kwani pop up si line moja tu ya javascript? sasa bank ya tanzania itashindwa kweli? wacha dharau babu.
 
Tumia firewall kublock all communication to outside world. Ruhusu application unazozifahamu tu!
 
Back
Top Bottom