Epuka kutongoza kwa meseji (SMS); Ni big risk...

Mimi niliwahi kufumaniwa siku hio sintoisahau. nilikuwa nacheki mechi kati ya arsenal na baca mwaka jana siku ambayo the guners walitimuliwa kwenye mashindano ya uefa. nimepozi kwa jamaa yangu nacheki mechi hio nikiwa mimi na mke wake. mala jamaa akarudi akiwa tungi. akacheki mechi kidogo kisha akaenda kulala nikabaki na mke wake akiwa anatengeneza maandazi. mechi iliisha saa saba usiku. huku nikiwa na hasira ya kufungwa na baca nika mwomba shemeji tuzunguke bafuni kama kawa. kumbe arobaini yangu ilikuwa imefika siku hio. nikiwa naendelea kula vya watu kumbe jamaa aliamka akaona sebulen hakuna mtu imebaki tv na wachambuzi wa soka. akatoka mpaka nje hakuna m2 akazunguka uani karibu na bafu akasikia sauti. akatoka kwenda kushtua watu ili waje washuhudie. hakufika mlangoni mwanaume nafungua mlango natoka. jamaa akaniuliza natoka wapi, mimi mdomo mzito. akaingia bafuni akamkuta mkewe anavaa. ile kutoka mwanaume nimeanzisha ligi ila niliweza kusikia huyu mwanamke uondoke naye. siku hio sikulala kabisa nikawa nasubiri hodi. mala kumekucha. asubuhi nikapanda basi kwenda iringa mpaka leo niko huku. huyo bishanga asiombe akutwe na mwenye mali. poleni na tamthilia ya maododo.
 
Tongoza kwa kutumia flash msg tu,,no ushahidi.
hizi za flash zinakuwa na option ya ku save, sio salama hata kidogo. Unajua hawa viumbe ni wa ajabu sana wanaweza kusave ili wairudie kuisoma akiwa ametulia au aiweke kama ushahidi wa kukukaba. Dawa pekee ni face to face tena ikiwezekana asiwe ameshika simu kwani anaweza kurekodi. Mkiwa mmekaa pamoja kabla ya kuanza kushusha vocal ibip simu yake ili kudisturb simu yake kama iliweka recording kwani ita pause
 
Huu uzi unanikumbusha nilipovunja ndoa yangu,mimi nilichukua simu ya mke wng nikabadili jina lilikuwa limeandikwa mjomba,nikaweka namba yngu nayo ijua mimi ila wife haijui,nikakaa kama siku 2 hivi,siku ya 3 nikiwa job nikaweka ile line nikabeep wife,mara napokea msg vp mpenzi mbona hupatikani kwenye simu?najuzi nimekuja mitaa yenu nakupigia hupatikani,huwezi amini nilichat na wife msg kama 30 hivi kabla yeye hajastuka,mpk hapo nilishajua ushenzi wote nikavunja na ndoa leo mwaka wa 4 lakini huwa nikikumbuka mpk nahisi kusisimuka,hawa viumbe hawafai hata robo!msg ni risk kubwa sana,hata tulipokuja wekwa kwenye kikao cha family ilibidi nitoe ushahidi watu wote waliridhika na ushahidi wangu pale'
Namhala!
Pole sana. Dah siamini. Mungu mwema ndo maana alifichua hili
 
Mapinduzi ya teknolojia, hasa simu za mkononi kwa kiasi kikubwa yamewezesha urahisi katika mahusiano ya kimapenzi.
Hata hivyo, kwa wanaume wenzangu, inabidi tuwe makini sana tunapotongoza. Wanawake sio viumbe wa kuwaamini. Sio watu wa kufanya nao dili.
Tumeshuhudia mara kadhaa watu wakiingia kwenye migogoro ya kijamii na hata ya kijinai kutokana na matongozo yao. Meseji za simu ndio njia rahisi sana kwa sana ya wewe kuingia matatani. Nawapongeza sana akina mama Ananilea kwa jinsi wang
 
mwanamme unatongoza kwa simu??? Tena sms?

Watongozaji hakuna siku hizi, ngoja nifumgue chuo cha kutongoza Tanzania.

Itakiwa unapiga verse hadi mtoto anaokoka mwenyewe.
 
Mimi niliwahi kufumaniwa siku hio sintoisahau. nilikuwa nacheki mechi kati ya arsenal na baca mwaka jana siku ambayo the guners walitimuliwa kwenye mashindano ya uefa. nimepozi kwa jamaa yangu nacheki mechi hio nikiwa mimi na mke wake. mala jamaa akarudi akiwa tungi. akacheki mechi kidogo kisha akaenda kulala nikabaki na mke wake akiwa anatengeneza maandazi. mechi iliisha saa saba usiku. huku nikiwa na hasira ya kufungwa na baca nika mwomba shemeji tuzunguke bafuni kama kawa. kumbe arobaini yangu ilikuwa imefika siku hio. nikiwa naendelea kula vya watu kumbe jamaa aliamka akaona sebulen hakuna mtu imebaki tv na wachambuzi wa soka. akatoka mpaka nje hakuna m2 akazunguka uani karibu na bafu akasikia sauti. akatoka kwenda kushtua watu ili waje washuhudie. hakufika mlangoni mwanaume nafungua mlango natoka. jamaa akaniuliza natoka wapi, mimi mdomo mzito. akaingia bafuni akamkuta mkewe anavaa. ile kutoka mwanaume nimeanzisha ligi ila niliweza kusikia huyu mwanamke uondoke naye. siku hio sikulala kabisa nikawa nasubiri hodi. mala kumekucha. asubuhi nikapanda basi kwenda iringa mpaka leo niko huku. huyo bishanga asiombe akutwe na mwenye mali. poleni na tamthilia ya maododo.

Hahahahahaaaaaa! Arobaini zako zilifika. Bishanga kaa chonjo!!
 
Mkuu wewe acha tu maana alikuwa busy sana na simu nikaona isiwe tabu nilifuta tu ile namba nikaweka yangu jina nikaacha mjomba,sio rahisi yeye mara 1 kustukia basi ndio ikawa hivyo!

Mkuu, nakupigia salute! Ila ni kweli unaroho ngumu.
 
Dah! ngastuka,machale kunchezaa...kuanzia leo ni Flush Sms tu....

Duh, then heri yangu mimi mvivu wa kuandika hizo msgs. Dawa ni kwenda hewani na kumtoa out tu, unless awe amedhamiria aje na recoder..
 
Back
Top Bottom