Epuka gharama na anasa ya kutumia mafuta ya taa kwa kukata miti hovyo kupata kuni na mkaa

Kukata miti ni kitendo sawa na mauaji. Cutting trees leads for low concentration of oxygen and high concentration of carbondioxide, the action is fatal. But what shall the poor do while depending them for fuel?
 
huo ukame utakaoshuka hapa baada ya kukata miti kwa kiasi kikubwa,tutatafutana! kuna alternative ya biogas,watu wangesaidiwa kuweza kujengewa biogas supplier vijijini ikawa kama ka-songas kao. hata hivyo slayer,watu walio kijijini hawatumii mafuta ya taa kwa ajili ya kupikia,bali ni kwa ajili ya taa zaidi manake tangu kitambo hawamudu gharama!
 
Mafuta ya taa vs kuni/mkaa

Unamwambia mtu aepuke kutumia kuni, mkaa ama mafuta ya taa...haya halafu unataka atumie nini? Uwezo wa kunua gesi hana. Umeme hakuna. Hapa it's like talking about baseball in Tanzania
 
itafaa watu wa kawaida wajifunze kula vyakula vibichi, kulala saa kumi na mbili jioni, na ni marufuku watoto wao kujisomea usiku.
 
All this happened becuase of bad leadership of Jk aka The Tourist..!¡..

Mnajua Marafiki kuna Usemi unaosema kwamba kama Samaki ameoza Kichwa basi jua mwili wote unakuwa Umeoza! Ndivyo ninavyolinganisha usemi huo na Utawala wa Serikali ya Jk..!¡..

smk
 
Tuvuteni subira waheshimiwa wameanza kwao kwanza,watakuja na kwetu. Watatuewekea lami mpaka vichoroni ili tulingane. Na wanamalizia uwiano wa nauli za bodaboda na tax.
 
Mafuta ya taa vs kuni/mkaa

Uzalishaji na utumiaji wa kuni/mkaa ni gharama kubwa zaidi kuliko mafuta ya taa. Athari za biashara ya mkaa/kuni si tu kwenye mazingira, bali hata kwenye uchumi wa Taifa.

Nadhani tatizo sio tu bei ya mafuta ya taa au vyanzo vingine vya nishati. Tatizo kubwa zaidi ni kupatikana kwa uhakika kwa huduma hizo, hasa umeme. Bila kuhamia kwenye hoja ya umeme, hebu tafakari picha zifuatazo:

151527-380-245.jpg


mkaa.jpg


charcoalraid2.jpg
 
tanzania tanzaniaaaaaa
nakupenda kwa moyo wooooteeee
nji yangu tanzania jina lako ni tamu
sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
nikiwapo safariniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
teheteheteheteee
ase ipo kazi mkuu
 
Watanzania tunaishi kwa siasa
kwa sababu viongozi wetu ndo njia yao ya kuendelea kukaa madarakani
kila kitu siasa hata kama anajua kabisa anachosema hakiwezekani.
 
Back
Top Bottom