ENZI ZILE (Tukumbushane)

Nakumbuka nikiwa std 2 kulikuwa na vichongeo vya penseli vilivyokuwa na kioo juu, enzi hizo tulikuwa tunafundishwa na mwl wa kike ss huyo mwlm alikuwa anapenda kukaa kwenye dawat langu akisahihisha daftari ss nilikuwa naweka kile kichengoe chenye kioo chin katikat ya miguu yake bila yy kujua ss kile kioo kinadisplay v2 alivyovyaa ss yule ticha alikuwa ana chup mbili alizo kuwa anapendelea kuzivaa nyeupe na nyekundu bas nilikuwa nafurahia sn huo mchezo kwa bahat mbaya yule ticha alihamishwa tukapewa mwalim wa kiume nilimchukia huyo mwalim mpaka nilivyoingia sdt 3
 
sasa kuna moja kali wakati nimemaliza darasa la saba nasubiri kuingia form one kuna jamaa mmoja alikuwa kanizidi umri kidogo yeye alikuwa na demu wake akaniambia nimsindikize ilikuwa kama saa 2 usiku, basi jamaa akamwita demu kutoka kwao tukaenda pembeni akawa anabambia kama hatua kumi mbele ya pale napomsubiri nilikuwa naona kwa mbali jamaa akawa anapiga denda huku anamchezea mashine, baadae wakaagana akarudi yule demu akarudi kwao sasa wakati tunarudi nikawa namuuliza mbunye uwa ikoje basi jamaa akaninusisha ule mkono aliokuwa anachezea mbunye ili nisikie harufu ya mbunye

unaambiwa kwa mara ya kwanza siku ile nilienda winga (kusimamisha) mpaka nilipofika home ikabidi nikae kidogo nje mpaka mashine ilipopoa (kama nusu saa hivi) ndio nikaingia home maana kikaptula chote kilikuwa kimepelekwa mbele

Hakuana siku nimecheka kama leo tangu mwezi huu uanze jamani. Funza dume you are too much!
 
Aaah mimi nilikuwa mtu wa ndaba zile za kuchumpa. Mnazikumbuka Avia, Hi-Tech, LA Gear? Ila kuna ndaba zilikuwa zinaitwa Troop....hizi zilikuwa bab kubwa enzi hizo. Mimi nilikuwa nazo pair mbili...nilitesa nazo sana aisee. Nakumbuka nilipata mademu kwa kutumia hizi ndaba. Halafu wakati wa likizo nilikuwaga lazima ninyoe panki...si unajua shuleni mapanki yalikuwa yanakatazwa....basi mimi nilikuwaga nasubiri mwezi wa sita na wa kumi na mbili....

Cheki Troop hiyo...

Troop-Is-Back-In-Town-5.jpg

Dah! Ebwana kweli wewe kwenu lazima mlikuwa mambo safi, na wala sina haja ya kuuliza kama mlikuwa na ''kideo'' kwenu. Maana enzi hizo mkiwa na video kwenu (sio TV kwa kuwa kulikuwa hakuna mtambo wa TV) basi mtaa mzima heshima mbele!
 
sasa kuna moja kali wakati nimemaliza darasa la saba nasubiri kuingia form one kuna jamaa mmoja alikuwa kanizidi umri kidogo yeye alikuwa na demu wake akaniambia nimsindikize ilikuwa kama saa 2 usiku, basi jamaa akamwita demu kutoka kwao tukaenda pembeni akawa anabambia kama hatua kumi mbele ya pale napomsubiri nilikuwa naona kwa mbali jamaa akawa anapiga denda huku anamchezea mashine, baadae wakaagana akarudi yule demu akarudi kwao sasa wakati tunarudi nikawa namuuliza mbunye uwa ikoje basi jamaa akaninusisha ule mkono aliokuwa anachezea mbunye ili nisikie harufu ya mbunye

unaambiwa kwa mara ya kwanza siku ile nilienda winga (kusimamisha) mpaka nilipofika home ikabidi nikae kidogo nje mpaka mashine ilipopoa (kama nusu saa hivi) ndio nikaingia home maana kikaptula chote kilikuwa kimepelekwa mbele

We kweli kichaa!
 
Wewe ni mwanaume au mwanamke samahani kama nimekukwaza

Nguli kwani wanaume hawayarudi mauno..vip kina Fally Ipupa wanavyokwenda sambaba na jukwaa..Kina Nyoshi El Sadaat teteteteh mambo ya fani tu
 
kuna jamaa mmoja alikuwa house boy wa nyumba ya jirani alitokea Musoma, sasa akapata demu akaimbisha na kukubaliwa kipindi hicho ndio UKIMWI umeingia bado mpya na kondomu ndio hata kutumia watu hawajui basi yule jamaa siku hiyo anaenda kuchenga ilibidi avae kondomu toka nyumbani kwao halafu ndio akaenda kwa demu jamaa njia nzima anatembea na mpira halafu kufika kule walipoaidiana demu hakutokea
 
Leo nimekaa najikumbusha mambo ya zamani, enzi za Mwl nakumbuka kuna demu mmoja nilikuwa namvizia sasa tekinolojia ya kumtoa kwao kama simu ilikuwa hamna na mimi nilikuwa nakaribia kufungua shule kwa hiyo nikawa napita pita kwao ili hata nimuone nimwombe anuani yake ili nijieleze kwa barua (domo zege enzi hizo):smile-big:

sasa nikawa najipitisha pale karibu siku tatu lakini wapi sikubahatika kukutana nae, sasa kuna siku nikaamua kumtuma mtoto mdogo akaniitie, yule dogo si akaenda kumwambia mbele ya wazazi wake, wazazi wakamuuliza yuko wapi akasema sehemu niliyojibanza kichochoroni basi wazazi wote wawili wakatoka kuja pale nilipo baada ya kuwaona nilitoka mkuku kama mwizi jioni wakaja home kumweleza mdingi. Mdingi akaniwakia akanionya nikirudia hanipi tena hela ya matumizi shuleni (boarding)

hebu tukumbushane vimikasa vya enzi za Mwl kama kuandika barua ya kurasa tatu, kusafiri usiku kwenda shule n.k
SI UNGEJITOKEZA TU MBELE YA WAZAZI WAKE HUKU UKIWA UMEVALIA SARE ZA SHULE, UKAMWOMBA BINTI AKUAZIME KITABU CHA '' WHERE AND WHEN CAN WE MEET''? LABDA binti ANGEKUJIBU HICHO SINA NILICHO NACHO NI ''WE CAN MEET AT.......''na wakati huohuo ukijiandaa kutimua mbio just in case wazazi wanakijua kimombo.
 
kuna jamaa mmoja alikuwa house boy wa nyumba ya jirani alitokea Musoma, sasa akapata demu akaimbisha na kukubaliwa kipindi hicho ndio UKIMWI umeingia bado mpya na kondomu ndio hata kutumia watu hawajui basi yule jamaa siku hiyo anaenda kuchenga ilibidi avae kondomu toka nyumbani kwao halafu ndio akaenda kwa demu jamaa njia nzima anatembea na mpira halafu kufika kule walipoaidiana demu hakutokea

funzadume na wewe umeanza kutupiga fikisi hapa hahhahahah
 
Heri yangu mimi enzi hizo mnazosema nilikuwa bado kuzaliwa:target:
 
maswala ya domo zege enzi zile usipime!

Nikiwa std four nilimchunuku sana Flora; demu alikuwa bomba shule nzima; mtoto wa mwalimu nami mama ni mwalimu mkuu wa shule hiyo hiyo; sasa mbaya zaidi mama yangu na mama yake walikuwa wakitaniana na kuitana wakwe; wasijue mwenzao nafanya kweli kwa kupenda kitu; kazi ilkuwa kwnye kumwambia Flora; jamani nyie acheni tu hili swala la madem kuhongwa ama kubembelezwa kwa zawadi ni instinct zinazokuwepo aklini mwa wavulana tangu wkiwa wadogo mno kuliko tunavyofikiri! Mie kwa kuwa Mama ni mkuu hivyo nilikuwa na access na funguo ya stoo ya shule mara kwa mara na mzee ilkuwa sifanyi ajizia nikipata mwanya wa kuingia huko kama si daftari 2 ama 3 natoka na rangi za kuchorea ama hata kitabu kimoja cha hadithi na hivyo vitu lazima vifike kwa Flora; Mpelekaji alikua ni Binamu yangu. Basi nikiambiwa kavipokea mimi roho yangu kwatu! aah we acha tu.
Mkasa ulikuja kututokea puani siku binamu alipobambwa na Mama yake Flora; alihisiwa labda kamwibia Mama; kesi ikaletwa nyumbani ilikuwa pata shika ukaguzi ukafanyika chumbani kwangu! mchizi nikakutwa nimetengeneza hadi cheti cha ndoa yetu Flora (coppying my mother's of coz)
Yaani wakubwa wote waliishiwa hamu; nilichapwa sana na kulazimishwa kujiunga kutumikia kanisani mwaka mzima na mama! Shule nzima walijua lakini kwa kuwa nilikuwa mtoto wa ticha mkuu hakuna aliyethubutu kunitania!

lakini kazi yangu ilikuwa na malipo hatimaye nilipofika form one nilizawadiwa tunu na Flora! Namtakia maisha mema huko aliko!
 
mmmmh.
 
Haya mambo ya kutokuwa na mtandao wa simu nilikuwa nakwenda kumvizia demu mmoja kanisani. Sasa siku moja nikachelewa kuamka, kwa hiyo nikakuta misa imeshakwisha. Ikabidi niende mitaa ya kwao maana kusubiri tena mpaka Jumapili inayofuata ingekuwa mbali sana. Halafu sikuwa na uhakika wa nyumba anayoishi ila mtaa naujua.

Nikazunguka zunguka mtaani mwisho nikajitoa ufahamu na kuamua kugonga mlango kwenye nyumba mojawapo. Nikakaribishwa, kuingia ndani mzee mwenye nyumba ndiye kakaa sebuleni. Baada ya kumwamkia, akaniuliza shida yangu, nikamwambia nimesikia mtaa huu kuna nyumba wamechinja nguruwe kwa hiyo nimekuja kununua nyama ya nguruwe, je ni nyumba hii? Yule mzee akasema hapana sio hapa. Kwa kuwa hakuwa na taarifa za nguruwe kuchinjwa hapo mtaani ikabidi amwite binti yake amuulize! Binti kuja, kumbe ndiye yule yule ninayemtafuta kwa hiyo kama zali vile nikawa nimepatia nyumba! Kumuona tu mimi moyo wangu wote kwatu. Alipoulizwa akasema hakuna mahali wamechinja nguruwe mtaa ule labda nimechanganya mitaa. Basi nikaaga nikaondoka.

Siku nilipokuja kufanikiwa kumpata, akaniuliza...''Hivi ni kweli siku ile ulipokuja nyumbani kuulizia nyama ya nguruwe ilikuwa kweli umesikia wamechinja nguruwe au ilikuwa geresha tu?''...Nilicheka sana!
 
Back
Top Bottom