Kipindi cha Mkapa mishahara ilitoka tar 24. Serikali ya JK inachelewesha sana. Kwa mfano hadi leo hatujapata mishahara. Nilidhani ni sisi tu lakini leo nilikuwa udsm nikaona tangazo pale utawala kuwa hadi jana cheque haikuwa imefika kutoka hazina hivyo jtatu watafuatilia. We should admit that we have a very weak govt in power. hata mishahara?