Enzi hizoooo

Konaball

JF-Expert Member
Mar 11, 2009
2,949
1,940
hapo zamani kanumba na lulu
 

Attachments

  • kanumba vs lulu.jpg
    kanumba vs lulu.jpg
    18.9 KB · Views: 302
Kumbe wameanza zamani....!!!!!

Nasikia wameanza juzi, juzi na marehemu alitaka kumuoa kabisa. Kuna ile movie ya marehemu ya moses, alitudhalilisha sana wanawake, lakini bahati mbaya sana kwa marehemu wanawake ndo wamemdhalilisha yeye. Yote kwa yote pumzika kwa amani KANUMBA, tulikupenda, ila Mwenyezi mungu alikupenda zaidi.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom