Enhe, na vipi kuhusu hii 'kufinyia kwa ndani'; iko toka zamani au imeanzishwa hivi karibuni katika kuhakikisha 'na ya kutolea' inatumwa?!!!

Sisi wa kataa ndoa tunaruhusiwa kujadili..?? Maana hatutaki shida na hatuna masharti, hatuna makuu, awe anafinyia ama anaikunia nazi, aichumie tembele, ama afe kama membe hatujali...
Ni unaizungumzia Babycare?
 
Back
Top Bottom