nyamakonge
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 363
- 130
Wakuu natafuta engine ya altezza four cylinder..mwenye access ani pm tufanye biashara.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Zile mkuu za kuunga unga tu hapa nahitaji genuine.Nenda Ilala mtaa wa shaurimoyona lindi utazikuta zimejaa tele.
Ukiuziwa ya kuunga unga umetaka/penda mwenyewe mkuu.