Eneo na nyumba for sell

MARILYN

Member
Feb 23, 2011
96
15
ni eneo la eka mbili pembezoni mwa barabara ya kuelekea mpiji lina nyumba kubwa(bungalow) yenye vyumba sita vya kulala, (viwili master na vinne kawaida) sitting room kubwa dinning na jiko kubwa pamoja na store na chumba cha kupigia pasi. eneo linafaa kwa biashara pia na limeshapimwa na lina hati na documents zote muhimu. nyumba bado haijakamilika ila iko kwenye hatua za mwisho, imeshawekwa roof na madirisha bado kupiga lipu nje na milango na floor ina vyumba viwili underground(erosion), USIHOFU KUHUSU BARABARA BEACONS MPYA ZIMEWEKWA NA ZINAONEKANA VIZURI TU

bei ni millioni 370

 
Maelezo zaidi, tafadhali mkuu. Kumbe njia ya mpiji ni ipi vile? karibu na nini? Nyumba ipo mwanzo, katikati, ama mwisho wa hizo ekari 2? Shilingi 380??
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom