erca
JF-Expert Member
- Aug 29, 2019
- 311
- 336
Nionyeshe mwanmke mmoja alietajirika kwa kuuza papa, nami nitakuonyesha mchagga asiependa pesa!
Mleta mada alitakiwa kua chini ya uangalizi wa madaktari bingwa pale Mirembe, usifuate ushauri wake!
Nionyeshe mwanmke mmoja alietajirika kwa kuuza papa, nami nitakuonyesha mchagga asiependa pesa!
Mleta mada alitakiwa kua chini ya uangalizi wa madaktari bingwa pale Mirembe, usifuate ushauri wake!
Imetumika kupita kiasiKwani mkuu ukikuta K ipo kama ulivyoitaja kwaiyo inakuwa imechakaa au ndiyo maumbile yake? Kwasababu umenishtua .
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Watajeee kwani niwaonee mie,Charity begins at home... why unawakandia slay queens wa Bongo? Kwamba Bongo hakuna slays wenye hela jyzidi hao uliowataja?
Akili za kuendeleza kile wanachotafuta hawana, wao wanawaza kula bataa tyuuh, na sio kuwekezaa.Dada zetu shida sijui nini hawatoboi kimaisha
We Jamaa una Akili SanaAkili za kuendeleza kile wanachotafuta hawana, wao wanawaza kula bataa tyuuh, na sio kuwekezaa.
Nipo besti, zama siku ?
Naona JF bado mambo matamu. 😊
Sepenga hadi sasa yupo bankrupt at most hayupo vizuri na ndio shida ya kutegemea mwili kuishi mjini ukiacha na pesa zote zinatoweka.*Wema Sepenga.
*Irene Uwoya.
*Jackline Wolper.
*Kajala.
*Lulu Michael
N.k
Kama unadhani ni bongo movie ndiyo inawaweka mjini basi nenda na wewe kaigize uwone kama utatoboa.
Wote hawa Wana sura na shepu za mauzo ndiyo maana wapo mjini na maisha yanaenda
Hudda kuna video niliiona online anahangaika kutafuta mtu wa kutulia nae maana kashaanza kuona umri unaelekea ukingoni na atapoteza mvuto ghafla.Hapo namba moja anafaa kua Huddah Monroe na uzuri hajawahi kuficha,
Vera Sidika japo sasa ameamua kutulia na kuolewa,
Zari the bosslady (role model wa mabinti wengi bila kujua nyuma ya pazia)
Dah huwa inakata stimu balaa.Wanawake wa aina yako ndio wale ukiwafunua unakuta k zina masikio mawili marefu yamening'inia mithili ya manati ya baiskeli kwa kuchakaa
Dah umeongea kama influencer lakini unaonekana umekata tamaa, pole sanaChaguo ni lako dada. Amua uishi maisha duni kama mama na bibi yako kwa kupewa sifa za kijinga kuwa wewe ni wife material ama utafute hela kwa nguvu zote.
Wenzako hatutaki kufa kwa stress, tunastarehe na hela tunapata. Amua moja kutumika na mjinga mmoja unayemuita mumeo ama kutumika na wenye vipato vyao .
Lakini ukae ukijua kutumika ni kutumika tu, haijalishi. .....whether utumiwe na huyo mjinga mwenzako ama utumike na wenye maisha bora.
Nani mjanja? Anayetumika na pesa anayo ya kuchezea ama wewe unayetumika huku ukifubaa na kuchakaa? Angalia unavyoteseka hata kupata hela ya kula. Kila siku kiguu na njia kucheza vikoba.
Acha kutafuta sifa za kijinga!
Hii kitu huwa hawaelewi hadi muda ufike. Mimi hii nina ushahidi wa kitosha wa wanawake wengi sana nadhani hata 200 wanaweza fika.Wahuni watakutumia sana watakuhonga hivyo vi chenji vitakavyokusaidia kubadilisha nguo na kutokulala jaa tu, ila kwenye soko la umalaya hautadumu kwa muda mrefu utachakazwa na utarudi kijijini kwenu huna kitu sana sana utaanza dozi isiyo na mwisho.
Urembo una mwisho na ukifika mwisho hakuna atakaetaka hata kukutazama mara mbili
refer maisha ya wema sepetu alivyokua mzuri miaka 10 iliyopita na Sasa alivyo huo Ni mfano tosha uzuri una kikomo
Huyu ni 100% mtoto wa single mother na atakuwa katokea kwenye ukoo ambao wanawake wengi kwenye ukoo wao ndoa zimewashinda.Jambo usilolijua ni kwamba kuwa wife material sio mateso, ni kuwa na familia yenye afya, amani na Furaha.
Wewe endelea tu kudanga, ila waulize waluokutangulia wakiwa wakweli watakwambia mwisho wao ni mchunu.
kwa hawa slays nasema bata couz wanaenda hizo sehemu za five hotels.We Jamaa una Akili Sana
Then Bata la mademu wa bongo sio Bata ni Anasa unajua ukisema Bata ni ile moment unaenda Sehemu inayoeleweka Kam Kilimanjaro hotel n.k
Lakini hizi watoto wa Chuo wanaziita Bata za kwenda kitambaa cheupe unarudi unanuka Pombe unatembea unayumba hizo sio Bata ni Anasa
Wolper tayari ana mtoto wa 2.Sepenga hadi sasa yupo bankrupt at most hayupo vizuri na ndio shida ya kutegemea mwili kuishi mjini ukiacha na pesa zote zinatoweka.
Uwoya aliyekwambia yupo vizuri kifedha ni nani, yale maigizio yake ya kugawa pesa mitandaoni ndio unahisi anapesa? Subiri utakuja kuona habari yake. Muda si mrefu utasikia anaitafuta ndoa.
Wolper alikuwa ameshafilisika, MUNGU amfungua macho akajiweka kwa bwana mdogo jina limenitoka baada ya kustuka umri unakwenda maisha yanaenda hovyo hovyo. Mwisho wa siku akajituliza kwa yule kijana na ndipo mambo yakaanza kufunguka, amepata mtoto na soon anapata mwingine, biashara anazofanya kwa sasa zinafanya vizuri maisha yanatengamaa. Na amejiweka mbali sana na mitandao ya kijamii na maskendo.
Akirudia tu yale maisha yake atapotea tena.
Kajala hana maisha ana tanga tanga tu na mtoto wake wanaliwa na wanaume wa mjini ila wasikudanganye kuwa wanamaisha mazuri. Ukitaka kujua subiria wapatwe na changamoto ndipo utajua hali zao. So ukiachana na maigizo yao hapa mjini si watu wemye maisha hawana hata makazi ya kueleweka wanaishi wapi.
Lulu inajulikana kuwa ameolewa na mtu mwenye pesa na ndio maana unaona kwasasa maisha yake yanauelekeo ila kabla ya hapo uliona anavyohangaika. Ndio imemuokoa kwasasa anaishi kwa stara.
Kwa kifupi mwanamke awe hata na pesa ila akiwa nje ya ndoa na akakosa mwanaume anayejitambua then ataishi maisha ya kishetani sana na ataharibikiwa yeye na kizazi atakachokianzisha katika mfumo huo.
Ndoa inampa mahitaji ambayo hakuna pesa hapa duniani inaweza kununua.
Ndio maana hata vitabu vya MUNGU vilisema kila kifanywacho nje ya ndoa kuanzia mahusiano,ngono,kuzaa watoto na hata matokeo yake ni haramu.
Sasa unaona hata wewe nakuhakikishia utakuwa ni mtoto wa nje ya ndoa ambaye unapozaliwa tu pale unakuwa umeshaharamishwa na ulimwengu bila kujijua maana wazazi wako wamekuleta katika ulimwengu kwa njia haramu na hivyo huwezi kuwa na baraka za MUNGU ingawa unaweza kumiliki mali na utajiri ila vyote hivyo vitaharamishwa hadi pale utakapomtafuta MUNGU mwenyewe na kuomba ulinzi kwake kwa kutambua makosa ya wazazi wako.
Sasa wewe mwanaharamu nenda kwa waliokutuma uje kuharamisha ndoa kuwa umefeli vibaya na ujumbe wako haukupokelewa vema mjaalaana mkubwa weye.
Aiseee ila wewe mleta uzi ni Lijinga na hauna akili wewe daaahWema bado mrembo ndiyo maana kwa umri wake wa 45+ bado amechukuliwa na msanii Wozhu.
Wanawake wengi wenye miaka 35 (achilia mbali 40 - 45) hawatazamiki, lkn Wema katazamwa na Wozhu mwenye miaka 24