Endelea kuwa wife material huku ukichakaa. Wenzako tunakosa mpk nafasi ya kutunzia minoti

Sexless

JF-Expert Member
Mar 11, 2017
21,581
50,476
Chaguo ni lako dada. Amua uishi maisha duni kama mama na bibi yako kwa kupewa sifa za kijinga kuwa wewe ni wife material ama utafute hela kwa nguvu zote.

Screenshot_20230526-234027.png


Wenzako hatutaki kufa kwa stress, tunastarehe na hela tunapata. Amua moja kutumika na mjinga mmoja unayemuita mumeo ama kutumika na wenye vipato vyao .

Lakini ukae ukijua kutumika ni kutumika tu, haijalishi. .....whether utumiwe na huyo mjinga mwenzako ama utumike na wenye maisha bora.

Nani mjanja? Anayetumika na pesa anayo ya kuchezea ama wewe unayetumika huku ukifubaa na kuchakaa? Angalia unavyoteseka hata kupata hela ya kula. Kila siku kiguu na njia kucheza vikoba.

Acha kutafuta sifa za kijinga!
 
Nionyeshe mwanmke mmoja alietajirika kwa kuuza papa, nami nitakuonyesha mchagga asiependa pesa!
*Wema Sepenga.
*Irene Uwoya.
*Jackline Wolper.
*Kajala.
*Lulu Michael
N.k
Kama unadhani ni bongo movie ndiyo inawaweka mjini basi nenda na wewe kaigize uwone kama utatoboa.

Wote hawa Wana sura na shepu za mauzo ndiyo maana wapo mjini na maisha yanaenda
 
Back
Top Bottom