Encouraging news about Dr Ulimboka!

Ulimboka atarudi.
Salama tunamuombea.
Ukweli daima utafichuka.
 
Mungu aendelee kumpigania shetani aendelee kuaibika.

Look here:
1. Mungu aendelee kumpigania shetani aendelee kuaibika.
2. Mungu aendelee kumpigania, shetani aendelee kuaibika.
3. Mungu aendelee kumpigania shetani, aendelee kuaibika.

Ni sentensi ipi iliyo sahihi?
 
GAMBA haibu litaiweka wapi?? Tuko nyuma yako dr.ktk sala,mungu aliyekuokoa ktk mikono ya mashetani wa Gamba,atakupigania! Get wl soon Dr..!
 
We realy thanks for the information Please don't mind on the Geographical Location, I think its irrelevant here ... AND Good Load All our eyes On you upon this matter!!
 
Siri kubwa ya nani anahusika katika sakata zima la kumteka na kumtesa kiasi hicho anaijua yeye mwenyewe, tuache kushikana uchawi bali tusubiri apate afya njema kisha arejee nchini na kumtaja mchawi
 
I have just been informed that the Dr is doing fine wherever he is being treated! Very reliable info, take it from me!!

However the source could not tell me where he is being treated because the conversation was by phone.

Let's keep on praying for him!!

teeeh ....pona haraka daktari wangu ..kuna siku utakuja kuvikwa nishani kwa moyo wako wa ukakamavu ....
 
Look here:
1. Mungu aendelee kumpigania shetani aendelee kuaibika.
2. Mungu aendelee kumpigania, shetani aendelee kuaibika.
3. Mungu aendelee kumpigania shetani, aendelee kuaibika.

Ni sentensi ipi iliyo sahihi?

Ya pili
 
Mwoga hufa siku nyingi kabla ya mauti yake,CCM imeanza kujifia kwa woga kabla ya 2015?Jasiri anafahamu kifo ni mara moja!
 
get well soon! I tried to be a doctor and failed. What i can do is to salute all doctors! Much respect to you!
 
Pona baba haraka. Wenzako wamekuwa waoga huku, wameanza kurudi kazini kwa kasi, Mikoani hakuna Migomo ni Muhimbili tu, na INTERNS woote wamechapa lapa!.
 
Ningependa dr apate jimbo la kuwakilisha bungeni mwaka 2015..kweli ni mpiganaji bila shaka tunamhitaji sana angie kwenye kufanya maamuzi.ili awe huru ni lazima ajiunge na chadema
 
Back
Top Bottom