Natafuta kazi nina Diploma ya kilimo na mifugo nilihitimu chuo tangu 2010 na kuaidiwa na serikali kuwa itatuajiri but mpaka sasa bado.Naombeni wana jf mnitajie makampun yanayoshugulika na fani yangu ili niombe kazi huko kwani lengo langu nikipata mtaji niweze kujiajiri.