Ila kuni mbichi unaweza kutengezea mkaaJamani hilo ni zigo la kuni mbichi,yaani Haliwaki. Auzwe tuuuuuuuuuuuuuuu
Ila kuni mbichi unaweza kutengezea mkaaJamani hilo ni zigo la kuni mbichi,yaani Haliwaki. Auzwe tuuuuuuuuuuuuuuu
kilichotukosesha ubingwa si adebayor kukosa magoli bali tumeruhusu magoli mengi zaidi ya Liver na Man u so we need a holding midfielder mwenye uzoefu ili denilson awe second choice bila kuvuruga pale mbele ili tu study team baada ya apo kumbuka ukimuuza adebayor manake umepunguza magoli na tukumbuke kuwa rosicky kaumia tena mazoezini na Van persie hatabiliki mara kwa mara anaumia na pia Eduardo bado anaingia miguu kwa uoga so hatuna depth pale mbele in reality,mechi zinazochezwa england ni nyingi FA,CARLING,PREMIER na UEFA so we need a deep squad ili wachezaji wapumzike kwa ku rotate na kwa ushindi...Ade should deal should be delayed unless kama anayo replacement ya nguvu..
ndo balance yenyewe nazungumzia in other words, huwezi kuwa na strikers wengi wakati back line yako ni tia maji tia maji na back line inaanzia holding midfielders to the back four, Man city ndo mana wanatafuta john terry au Lescot ili wawe na balance,real madrid ndo mana wanamtaka Alonso au Franck ribery yote hii ni balance,Liverpool wana back four imechoka so ukimpita holding midfielder ni kasheshe na wanapatiwa sana na counter attacks koz ya aged defence,remeber 4-4 na arsenal???Ebue kuuzwa ni ngumu kidogo kwa kuwa ni second option ya sagna na pia anafaa upande wa theo walcott kama namba 11 au 3 ya upinzani inapanda sana yeye anaanza nae kumkaba kabla ya kukutana na sagna mfano mzuri ni Evra anapanda sana kwa ajili ya crosses so coach akiona theo anapwaya anauwezo wa kumweka ebue ili adhibiti crosses so team ibakie ivo ivo kwanza tuone man u watafanya nini baada ya kuondoka kwa tevez na ronaldo...liverpool wako intact,chelsea pia wako ivo ivo so we better do the same....
Mkiuza ADE ,itabidi kuongeza pesa ili kununua mchezaji mwingine la hampti replacemement ,and you will be kicked out of top four
Mkiuza ADE ,itabidi kuongeza pesa ili kununua mchezaji mwingine la hampti replacemement ,and you will be kicked out of top four
Nope, hatumtaki jamani!..ha ha