Emmanuel Adebayor's Transfer hic-cups!

...eti hakuna wa kuziba pengo lake, mshawasahau Bendtner, Eduardo na Vela? ...Rosicky naye huyoo anarudi uwanjani, angalau Walcott sasa atapata nafasi ya kucheza kama striker!...

aende zake bishololo huyo, anaudhi kweli!
Pamoja na ubishoo but alifunga goli 30 msimu mmoja RVP ni mzuri but tatizo majeruhi .Walcot bado sana as time go kiwango kina shuka ,sidhani kama Rosisky atakuwa fit msimu mzima
 
Back
Top Bottom