Embu Tujikumbushe enzi za chupi V.I.P wakati huooo Una..

zubedayo_mchuzi

JF-Expert Member
Sep 2, 2011
4,873
1,216
V.I.P Ni aina ya chupi ambazo zilitawala sana kila mwanafunzi alikuwa Nayo bila kujali jinsia,

Maajabu ya V.I.P Kwa wale wana michezo watakumbuka zilikuwa Raisi sana kukatika pale ikweta,Then kama uko una piga boli,mpira wa makaratasi Mwanawane Unaikuta imepanda mpaka Mgongoni.

Mnaikumbuka VIp?
 
V.I.P Ni aina ya chupi ambazo zilitawala sana kila mwanafunzi alikuwa Nayo bila kujali jinsia,

Maajabu ya V.I.P Kwa wale wana michezo watakumbuka zilikuwa Raisi sana kukatika pale ikweta,Then kama uko una piga boli,mpira wa makaratasi Mwanawane Unaikuta imepanda mpaka Mgongoni. Mnaikumbuka VIp?

Duh! Mi nilidhani zilikuwa za wanaume tu. Mkuu uliwaona nazo kabisa mademu wamezivaa?
 
Siku moja nikiwa shule ya msingi tulikuwa tunakimbia mchakax2 asubuhi, nikahisi kama kitu kinanikera juu ya tumbo kucheki ni VP imeshakatika na kupanda karibia na kifuani, niliuchuna bdae nikaenda toilet nikaitupa.
 
Ha ha ha ha hyo ndo vIP BHANA
 
Siku moja nikiwa shule ya msingi tulikuwa tunakimbia mchakax2 asubuhi, nikahisi kama kitu kinanikera juu ya tumbo kucheki ni VP imeshakatika na kupanda karibia na kifuani, niliuchuna bdae nikaenda toilet nikaitupa.

Teh teh teh,
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom