Embattled PCCB chief finally on his way out

Its high time he leaves amwachie fisadi mwenzake hoping hatakuwa daddy's little boy.Kupelekwa na matukio tuu.Hawa tops wa government God knows but they suck.
 
Ila lazima awe mtu wa Usalama,It will neva Happen kupewa mtu mwingine...
 
Dkt.Hosea ni mwalimu mzuri wa sheria maana aliwahi fundisha pale OUT na Hakimu pia achilia mbali hiyo hadhi yake ya Intelejensia, JK amteua awe jaji tu ili jamii imtumie ktk uwanja huru
 
Dkt.Hosea ni mwalimu mzuri wa sheria maana aliwahi fundisha pale OUT na Hakimu pia achilia mbali hiyo hadhi yake ya Intelejensia, JK amteua awe jaji tu ili jamii imtumie ktk uwanja huru
Ulikusudia kusema atamteua?
Mi najua at the end atamteua kuwa jaji wa mahakama kuu. Na hawa ndiyo aina ya wakata mashauri tunaotegemea kuwa nao na kukata mashauri ya nchi hii.
 
Back
Top Bottom