Ikitotanzila
JF-Expert Member
- Sep 22, 2020
- 1,409
- 2,263
Nimeanza kuona umuhimu wa watu kusoma na kuelimika. Angalia sisi ndani humu tulivyomakondoo mpaka vyombo vya nje cnn, aljazeera, sky news nk ndo wanatusaidia kudai haki na inaonekana wao neo wameguswa zaidi na uonevu na ni kama wanaandamana invisibly lakini sisi hakuna tunachojua hata tukichinjwa sawa tu.
Kodi ya miamala ya simu pia ilitosha kuwafanya watu waandamane nchi nzima lakini ndugai amebaki anawakejeli kana kwamba anawona watanzania hamnazo kabisa na hamjimbui.
Tanzania tunahitaji sana elimu utamkuta hata graduate haelewi kinachoendelea anaulizia tu na anaamini miujiza kama pascal mayala.