OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 3,654
- 9,259
Nitatumia madaktari kama mfano wa watu wasio kuwa na uwezo wa kuzalisha mawazo mapya elimu yao iko ktk mfumo wa msahafu yaani anatakiwa afuate kile alicho fundishwa tu na si vinginevyo na anatakiwa kufuata muongozo kutoka wizara ya afya uitwao standard treatment guideline.
Ili uwe daktari mzuri unahitaji mambo matatu
1. Uwezo mkubwa wa kutunza data na mambo utakayofundishwa (uwe na hard disk kubwa kichwani)
2. Uwe na uwezo wa kukumbuka kwa haraka data na taarifa ulizonazo kichwani kwa kuoanisha na zile anazokuambia mgonjwa au utakazo ziona (kama vile google inavofanyaga kazi)
3. Uwe mtaalamu wa kubeti yaani mgonjwa akieleza dalili za ugonjwa flani kwenye matokeo ya google results kichwani mwako ujue kuotea vizuri ndo umwandikie aende maabara kisha arudi ili uone ulivobet kama ni sahihi au hapana mkeka ukichanika unampa rufaa.
Mchakato wa kuwapata watu wenye uwezo huo hufanyika kwa kuangalia mwenye alama nyingi necta hao vijana wapo kwa wingi hapo muhimbili. Hawa madaktari hawana mawazo mapya.