Mlaleo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2011
- 13,402
- 9,789
Hiyo Picha ni Uongo kwani hii picha ilishinda Shindani la kuchora kitu kitakachoshangaza iweje iwe kwenye uislam lol
Hiyo Picha ni Uongo kwani hii picha ilishinda Shindani la kuchora kitu kitakachoshangaza iweje iwe kwenye uislam lol
Hiyo Picha ni Uongo kwani hii picha ilishinda Shindani la kuchora kitu kitakachoshangaza iweje iwe kwenye uislam lol
Sorry imegoma sijui umeweka nini mkuu
MwanaHaki said:They say Jesus was Jewish?
He was Black!
Kiongozi,I'm completely dumbfounded with Last lines of your argument
Jesus was Black?
How come I never heard about this before?
Naamini kabisa hao watu wakubwa kiasi hicho walikuwepo Subhana Allah lakini sio aliens kama anavyotaka kutuaminisha mleta mada.
Hv Mkuu na ww kuna vitu kumbe hujui????? HahahaWakuu nilikuwa sifahamu kumbe pyramid zimejengwa na Blacks?
Nilikuwa najiuliza jinsi waebrania walivyokuwa na miili dhaifu+uvivu,wangeweza kweli kujenga structure kama zile?
Nasikia hata taa(light bulb) Haikugunduliwa na Thomas Edison bali Mbantu fulani aliyeipeleka hiyo knowledge misri
Mkuu pic haifungukNo wonder !
View attachment 320163
Mkuu we mwenyewe huna uhakika wa mwaka gani zilijengwa, na dunia nzima bado inabahatisha tu kuhusu lini hii mijengo ilijengwa. Haya mapiramidi ni one the greatest mysteries hapa duniani
Miaka ya nyuma na mie niliamini kwamba Egypt ilikua chanzo cha ustaarabu wote wa mwanadamu, lakini kila siku nakutana na vitu vipya Mkuu. Kwa mfano tu, ustaarabu wa wamisri kwa kiasi kikubwa ulitokea Babeli na Sumer
Kwa hiyo kwa sababu kina Plato, Pythagoras na Aristotle walitembelea Egypt haiprove chochote kuhusiana na nani alijenga pyramids. Ukiiangalia Greece ya leo huwezi amini kama ndio kiini cha western philosophy na ustaarabu kwa ujumla, kama Greece ya juzi tu hapa iko hoi namna hiyo, je itakuaje kwa Mesopotamia?
Na kuongezea Mkuu, ustaarabu wa kale kabisa wa mwanadamu ulifutwa na the deluge, without it may be leo hii tungeshangazwa na ustaarabu wa hali ya juu wa watu wa Babeli na Sumer
Hv Mkuu na ww kuna vitu kumbe hujui????? Hahaha
Ila kweli Mkuu hasa kama hil la yesu kuwa mweusi hata mm linanshangazaMkuu kuna baadhi ya vitu vinashangaza sana
Mfano,yesu kuwa Black lazima ushituke mkuu.
Jamaa kakimbiaMkuu hii ya Yesu kuwa Black tunaomba evidence.!