Efraim Kibonde apata ajira NSSF

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Yule mtangazaji nguli na gwiji mahiri katika nyanja ya habari amekula shavu la kuendesha kipindi cha nhc shirika la nyumba na makazi yuko live tbc anaelezea mikakati ya shirika lake katika kuhakikisha manzese yote inakuwa kama masaki big up braza aminia na mikakati yenu mikali!!!
 
Aidha wewe ndio kibonde au mpambe wake au ndugu yake unaompatia sifa hapa JF,haiwezekani huyu mtu thread zake zinakuwa nyingi kila kukichwa tena thread zisizo na maana.Huu ni upuuuzi
 
Who is Kibonde? Ni kipi kilichokupelekea wewe kumwita nguli au mimi nitakuwa sijui maana ya nguli, kifupi katika watangazaji nguli kibonde hayumo kabisa kama maana ya nguli ninayoijua mimi itakuwa sahihi.
 
Yule mtangazaji nguli na gwiji mahiri katika nyanja ya habari amekula shavu la kuendesha kipindi cha nhc shirika la nyumba na makazi yuko live tbc anaelezea mikakati ya shirika lake katika kuhakikisha manzese yote inakuwa kama masaki big up braza aminia na mikakati yenu mikali!!!
<br />
<br />
 
rekebisha heading yako!either iwe nhc au tbc,na sio nssf.hii ni kutokana na maelezo yako!
 
Yule mtangazaji nguli na gwiji mahiri katika nyanja ya habari amekula shavu la kuendesha kipindi cha nhc shirika la nyumba na makazi yuko live tbc anaelezea mikakati ya shirika lake katika kuhakikisha manzese yote inakuwa kama masaki big up braza aminia na mikakati yenu mikali!!!

Ukitaka kumjua vizuri jamaa sikiliza Antivirus za Mr2 na Roma
 
Bwahahahahahahaaaaaaa.....and another one!
Ninachokiona hapa Kikonde bado hajapata washauri wazuri, kama ningekuwa mshauri wake ningemshauri agombee udiwani ambao nina uhakika atapata then apate fursa ya kuwa meya wa JiJi. Nyani Ngabu ebu tupe hiyo software ya clouds + kibonde thread Alarm Alert, maana hii mimi nimeiona leo, kama ningekuwa nimeshafunga software yangu ningeshakuwa humu muda mrefu.
 
duh nssf, nhc, tbc
Yule mtangazaji nguli na gwiji mahiri katika nyanja ya habari amekula shavu la kuendesha kipindi cha nhc shirika la nyumba na makazi yuko live tbc anaelezea mikakati ya shirika lake katika kuhakikisha manzese yote inakuwa kama masaki big up braza aminia na mikakati yenu mikali!!!
 
Pale TBC and Startv yeye alikuwepo kama mtangazaji ila sio kwamba amekuwa pale kulisemea shirika lolote, Nehemie Mchechu ndo alikuwa analisemea NHC, Tuwe tunasikiliza vizuri na kutizama vizuri kabla hatujaleta topics hapa.
 
Mopaoz lazima atakua nssf ndio maana kachapia kwenye title yake

Pili, inaelekea kibonde angekua basha angelamba wengi sana humu
 
Back
Top Bottom