Efraim Kibonde apata ajira NSSF

Who is Kibonde? Ni kipi kilichokupelekea wewe kumwita nguli au mimi nitakuwa sijui maana ya nguli, kifupi katika watangazaji nguli kibonde hayumo kabisa kama maana ya nguli ninayoijua mimi itakuwa sahihi.

Hawa ndiyo wale wanaowasujudia wenzao. Kama kibonde ni nguli halafu akina Nyaisanga tusemeje?
 
ukikaa karibu na rose lazima unukier mh ndo ashapata ajira tena baadae mbunge hivi hivi huku tunaona...hongera kibonde
 
Back
Top Bottom