Effects za Ugali sana....

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
ugali.jpg imekataa kutoka, niko chooni 3 hrs(effects za kula ugali).jpg

Imekataa kutoka...niko 3 hrs
 
Aaaah....kitu cha mtama hicho nini? Maana kitu ya mtama ni balaa.
 
Baada ya hapo unaweza ukajikuta umekuwa CAMEROONED bila maelezo!
 
Ugali wa Yanga Watanzania waliokuwepo Miaka ya 1983-4 waliula Sana huu Mahindi ya njano Msaada kutoka Marekani... Mahindi ya Njano yalikuwa ni Special kwa Mifugo ya Wanyama kama Ng'ombe Nguluwe n.k Mwaka huo bila hii kitu Watanzania wengi wasingekuwepo Yaani?
 
Duduwasha unakumbuka enzi zile za RTC na National Milling? kipindi hicho tuko shule ukiulizwa ukimaliza unataka kazi gani basi ni RTC!! Jamaa walikuwa wako juu! kwa totoz sasa wee acha tu!!
 
Boflo, naona umeamua kunitamanisha kwenda chooni. Mwenzio choo kiko nje, halafu wanakaba kichizi.
Si unajua kwetu ni vibaka ila tumezidiana Technics!!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom